MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Huwa nashangazwa na kukerwa sana na tabia ya kina dada baadhi kupost picha za mitego mitandaoni kisha baadae kujitokeza na kulalamika picha zao kutumika kufanya utapeli. Kina dada wa aina hii wanastahili kucharazwa viboko hadharani. Mbaya zaidi wakati wakilalamika huporomosha matusi ya nguoni kuthibitisha uwendawazimu wao.
Kwa upande mwingine pia ninalaani watu wote wanaotapeliwa mitandaoni kwa kutumia picha za warembo. Hizo hela si bora muwatumie CHADEMA ili wawasaidie kuzitafuna kuliko kutapeliwa kipuuzi?
Kwa upande mwingine pia ninalaani watu wote wanaotapeliwa mitandaoni kwa kutumia picha za warembo. Hizo hela si bora muwatumie CHADEMA ili wawasaidie kuzitafuna kuliko kutapeliwa kipuuzi?