MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
uache janja ya nyani na wewe!Huwa nashangazwa na kukerwa sana na tabia ya kina dada baadhi kupost picha za mitego mitandaoni kisha baadae kujitokeza na kulalamika picha zao kutumika kufanya utapeli. Kina dada wa aina hii wanastahili kucharazwa viboko hadharani. Mbaya zaidi wakati wakilalamika huporomosha matusi ya nguoni kuthibitisha uwendawazimu wao.
Kwa upande mwingine pia ninalaani watu wote wanaotapeliwa mitandaoni kwa kutumia picha za warembo. Hizo hela si bora muwatumie CHADEMA ili wawasaidie kuzitafuna kuliko kutapeliwa kipuuzi?
Kwanini usipeleke hii hoja kwa prezda mkuu a.k.a MAMAHuwa nashangazwa na kukerwa sana na tabia ya kina dada baadhi kupost picha za mitego mitandaoni kisha baadae kujitokeza na kulalamika picha zao kutumika kufanya utapeli. Kina dada wa aina hii wanastahili kucharazwa viboko hadharani. Mbaya zaidi wakati wakilalamika huporomosha matusi ya nguoni kuthibitisha uwendawazimu wao.
Kwa upande mwingine pia ninalaani watu wote wanaotapeliwa mitandaoni kwa kutumia picha za warembo. Hizo hela si bora muwatumie CHADEMA ili wawasaidie kuzitafuna kuliko kutapeliwa kipuuzi?
KivipiHizo ni copyright zao!
Ulipaswa kuandika '... tabia ya sisi akina dada ..'Huwa nashangazwa na kukerwa sana na tabia ya kina dada baadhi kupost picha
Kitoto chenyewe kibaya π
Kwani tapeli anaangalia kibaya au kizuri?Kitoto chenyewe kibaya π
Mwanaume akishasikia n Kitoto cha 2000 lazima aruke nacho, yn mtu nzima unadanganyika kwa neno la kijinga ety mtoto wa 2000 πKwani tapeli anaangalia kibaya au kizuri?
Yeye ni kuwapiga tu wanaume wajinga wenye tamaa πππ
Siku hizi wanataka vya 2007Mwanaume akishasikia n Kitoto cha 2000 lazima aruke nacho, yn mtu nzima unadanganyika kwa neno la kijinga ety mtoto wa 2000 π
Sawa shangazi Mbaga jr. Usijali nakuelewa hiyo mimba changa uliyo nayo lazima ikusumbue.Ulipaswa kuandika '... tabia ya sisi akina dada ..'
Nakulomba ww na ndugu zako wote na dyudyu bado linabaki imara.Sawa shangazi Mbaga jr. Usijali nakuelewa hiyo mimba changa uliyo nayo lazima ikusumbue.