nadhani huyo mdada hajawahi sikia mtu ambae ni "Bisexual"
si vema kumdhalilisha mtu kiasi kile. Kina muhusu nini yeye..
watu wengine bana, wanajiona malaika..
Kuna baadhi ya comments kule zimeandikwa; bwana wako anakwenda GYM kila siku na kichwani anapiga low cut ni Gay!! Ukiwa masculine ni tatizo na ukijiachia vile vile ni tatizo.Dada zetu mnataka nini?