Kina dada watahadharishwa

Kina dada watahadharishwa

baelezeee banaa afrodenzi...


nadhani huyo mdada hajawahi sikia mtu ambae ni "Bisexual"
si vema kumdhalilisha mtu kiasi kile. Kina muhusu nini yeye..
watu wengine bana, wanajiona malaika..
 
Kuna baadhi ya comments kule zimeandikwa; bwana wako anakwenda GYM kila siku na kichwani anapiga low cut ni Gay!! Ukiwa masculine ni tatizo na ukijiachia vile vile ni tatizo.Dada zetu mnataka nini?
 
Back
Top Bottom