Kina Halima Mdee na wenzake waangukia mikononi mwa mawakili wa CHADEMA

Haya kavue kaptula unye ulale! usichafue nguo wee mtoto!
 
Kimenuka !
 
Tatizo ni hizo nafasi kuwa wazi ili vimada na wake za mabosi chadema wakina Joyce mukya waingie.
 
Kwa hiyo unashauri wagome kqenda mahakamani?

CHADEMA ilipowavua uwanachama, ulisikia kuwa waluenda mahakamani? Mahakamani wameitwa na mahakama kwa sababu akina Mdee waluenda huko.
 


Tusijisahaulishe ni kwasababu wanatumia jina la kwamba ni wabunge wa Chadema leo hii spika akitoa neno kwamba kisheria sio wabunge wa Chadema hakuna mtu atawafuata. Chadema walishajibu hili swali hata kama hatupendi majibu hasa makada wa CCM
 
Sasa kwann na wao wanajiita Ni wabunge halali waliotokana na chadema?
 
Wewe lini ulimpigia kura Samia? Samia aliteuliwa na Magufuli, ni mrithi.
 
Kuna watu wanahangaika kuwajibu mazuzu ambayo hata hayajui kuwa aliyefungua kesi si CDM!!
Kweli utafiti wa TWAWEZA ulioleta matokeo ya kwamba CCM inapendwa na wazee, wasio na elimu na masikini unazidi kudhihirishwa kuwa ni sahihi.
 
EeeeeNHeeeee, wewe kweli ni 'royal tourtz'!

Yaani huna akili ya kujua uhusika wa CHADEMA na hao watu, kweli?

Wewe utakuwa ni kiazi mbatata hasa!
 
Bila kupoteza muda nimeamua kwa hiyari yangu na akili zangu timamu kumsaidia Mzee Halima Mdee.

Kibata,Kabla ya uchavuzi mkuu 2020 uliwahi Mbunge wa vitu maalum.

Mzee Halima Mdee,Ndio tena kwa vipi viwili.

Kibata,Kwahiyo unajua utaratibu wa uteuzi wa wabunge wa viti maalumu.

Mzee Halima Mdee,Ndio

Kibatala,Mweleze Mh Jaji utaratibu,Sheria na kanuni za wabunge wa viti maalumu.

Mzee Halima Mdee,Mh Jaji naomba ruksa ya kwenda kujisaidia.

Mh Jaji, Unaweza kwenda Mahakama inakusubiri.

Mahakama ipo kimya dakika 30 zimeshapita Mzee Halima Mdee bado yupo msalani.

Wakili wa Mzee Halima Mdee anaiomba Mahakama kuhairisha kesi kwakuwa mteja wake hajisikii vizuri.

Kibatala, anaiomba mahakama kukataa ombi hilo na kuitaka mahakama kutoa amri ya kumleta Shahidi mwingine.

Mheshimiwa Jaji anakubalina na ombi la Wakili Msomi Kibatala Nusrat anapanda kizimbani tayari kwa maojiano.

Kibatala, Tunaomba umeambie Mh Jaji utaratibu wote wa kuwatapa wabunge wa viti maalumu.

Nusrat,Mheshimiwa Jaji mimi nilikuwa Magereza,nililetewa form saa 9 za usiku nika sign na sikuiliyofuata nikapelekwa garage nikaapishwa na aliyekuwa Spika wa Bunge Mh Ndugai.

Mheshimiwa Jaji kuniuliza mchakato ulivyokuwa ni kunionea tu.Naomba Mahakama yako tukufu itambue kwamba mimi nilikuwa mahabusu na baadae nikawa Mheshimiwa Mbunge.
 
Tumia Akili kama huna kaazime HALIMA na Wenzake ni Wanachama wa Chadema Chadema ilikuwa ina Haki Asilimia kuhakikisha Wanachama Wao wanatii MSIMAMO wa Chama chao na iliwafukuza kwa kwenda kinyume na Chama Kama Chadema ilisema haiutambui Uchaguzi kwanini Tume iwateue hao hao ambao Chama chao hakitambui uchaguzi Usipende kuandika Ujinga
 
Nonsense
 
Wahakikishe wamemeza dawa za kuzui mkojo.

Wakamuulize copral Aziz na yule mwingine wa Forenscic Beaural jina nimelisahau
 
Bila kupoteza muda nimeamua kwa hiyari yangu na akili zangu timamu kumsaidia Mzee Halima Mdee.
Hapana.
Hapa hujamsaidia Halima, kwa sababu umeamua kuchukua kesi isiyokuwa mahakamani.

Halima anapinga kufukuzwa CHADEMA. Mambo ya ubunge , labda huko baadae!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…