Kina Inonga wapigwa na kina Azizi

Iko hivi...Inonga kacheza dakika zote..huyu mtu wenu amekalia benchi ndefu dakika zote tisini..nimekupa hizo taarifa kama lilivyo lengo la uzi wako.
 
Nyuzi za kunijibu zimekuwa nyingi,mpaka sijui nijibu ipi niache ipe. Mngefanya nyuzi moja. Anafungwa Italy itakuwa DR Congo? Anachomesha Verane itakuwa Inonga?
 
Cha ajabu ni kwamba kacheza alafu kachomesha maana tunamjua ni uchochoro

Congo wanatafuta wachezaji wa kuunda timu yao ya Taifa sababu hawana cha kupoteza labda wataendelea kuporomoka kwenye rank za FIFA

Mali ni wa 46

Bukinafaso ni wa 55

Na hakina Inonga ni wa 72





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…