Luali
Senior Member
- Jan 1, 2013
- 101
- 11
Habari zenu waungwana,
Ningali niko nje ya nchi ila ningalipenda kujua kiendeleacho juu ya mauaji ya wamasai walio na ardhi kisha wakafilisiwa na TBL kisha TBL wakasimama kama wamiliki wa ardhi na kuiuza kwa Thomson Safaris, na hata hivyo inaonekana ya kwamba Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Thomson Safaris walihusika kwa kiasi kikubwa katika mauaji ya Trent Keegan?