Kina mama si kwa kuwachimba huku wakwe zenu wakike

Kina mama si kwa kuwachimba huku wakwe zenu wakike

Huyo kijana ni bwege
Rafiki yangu mtoto wake wa kiume aliyemakiza chuo, kijana wa miaka 25 alipeleka nyumbani mchumba wa ‘miaka 35 mwenye watoto wawili baba tofauti.

Shost alimsomesha mtoto Uganda enzi zile English Medium Tanzania za kuhesabu. Leo analetewa mkwe ‘used’ kwa maneno yake.

Alipomkataa kijana alikunywa simu. Hospitali mama alikatazwa kumuona mgonjwa kwani ndiye chanzo cha ajali.

Alipona na kuoa ndoa ya kanisani pasi mama yake kuwepo.
 
Rafiki yangu mtoto wake wa kiume aliyemakiza chuo, kijana wa miaka 25 alipeleka nyumbani mchumba wa ‘miaka 35 mwenye watoto wawili baba tofauti.

Shost alimsomesha mtoto Uganda enzi zile English Medium Tanzania za kuhesabu. Leo analetewa mkwe ‘used’ kwa maneno yake.

Alipomkataa kijana alikunywa simu. Hospitali mama alikatazwa kumuona mgonjwa kwani ndiye chanzo cha ajali.

Alipona na kuoa ndoa ya kanisani pasi mama yake kuwepo.
Its so sad kwakweli, ila huyo mkwe nae hakua na busara, maana katika hali ya namna hiyo ya kukataliwa na mzazi wa your hubby to be angejiweka kando mpaka labda mama aridhie

Tena mbaya zaidi kuna vigezo ambavyo dhahir vinaonekana unambambikia mwenzio. Kwmba tayari una watoto, tena wawili tena kutoka kwa wanaume tofauti halafu umempita mwanaume miaka KUMI! Mama alikua na haki kupinga aisee
 
Me naombeni mnieleweshe hii maana huwa inanipa maswali..eti kuna mama wakwe watoto wao wa kiume wakioa wanawaonea wivu wakwe zao? Na kwa nini?
 
Lakini kina baba huwa wana compromise kwenye masuala haya. Anaweza akakwambia halafu akakuacha mwenyewe ufanye maamuzi. Na pengine kina baba hua wanaelezaga wasiwasi kutokana na maneno wanayopewa na mama zetu huko chumbani
Inategemea ..baba akiona unapotea kabisa hatakwambia then akuache uamue atakwambia kabisa msimamo wake...mm ni shahidi wa hili maana baba aliwahi nipa onyo kipindi fulan ..halafu siyo wote wanakutilia wasiwasi kwa kumsikiliza mama mkuu ..wengine wanatumia utashi wao maana wapo wasiokuwa na wake.
 
Kwanza bi mkubwa alionyesha wasi wasi halafu baadae akaja kumpenda? Labda ule wasiwasi wake wa mwanzo ulikua na maana kubwa
Yawezekana, thou kuna mwingine niliowahi mpeleka hom hakuwahi kutiliwa shaka kabla ya huyu. Yule ilikuwa hata nisipokuwepo nikirudi nitawakuta wamekaa wanapiga stori fresh kabisa. Nilikujaga nikamuacha mimi mwenyewe, tangu nimemuacha sijawahi kupata mahusiano yenye Afya yakadumu hata miaka miwili.
 
Inategemea ..baba akiona unapotea kabisa hatakwambia then akuache uamue atakwambia kabisa msimamo wake...mm ni shahidi wa hili maana baba aliwahi nipa onyo kipindi fulan ..halafu siyo wote wanakutilia wasiwasi kwa kumsikiliza mama mkuu ..wengine wanatumia utashi wao maana wapo wasiokuwa na wake.


dadangu alileta ujumbe hom anataka kuleta watu hom wajitambulishe dingi akauliza kazi yake akaambiwa mfanyabiashara..dingi aliropkwa neno 1..usiniletee majizi mm😊akatia ngumu kweli kweli..kama unavyojua tena mama anataka mkwe tukaungana ndg wote tukimshinikiza dingi alegeze kamba...dadek hakuchukua kweli round..it was almsost 2 yrs only jamaaa akasarenda na mali za baba😊😊since pale nilisema mm baba akikataa kuolewa na huyu mtu bas nami.sitataka kabs kulazimisha..aka..nashujuru Mungu alikubali baada ya kusikia anafanya Msc😊
 
dadangu alileta ujumbe hom anataka kuleta watu hom wajitambulishe dingi akauliza kazi yake akaambiwa mfanyabiashara..dingi aliropkwa neno 1..usiniletee majizi mm[emoji4]akatia ngumu kweli kweli..kama unavyojua tena mama anataka mkwe tukaungana ndg wote tukimshinikiza dingi alegeze kamba...dadek hakuchukua kweli round..it was almsost 2 yrs only jamaaa akasarenda na mali za baba[emoji4][emoji4]since pale nilisema mm baba akikataa kuolewa na huyu mtu bas nami.sitataka kabs kulazimisha..aka..nashujuru Mungu alikubali baada ya kusikia anafanya Msc[emoji4]
Hahahahahahahahahah mzazi ni mzazi tu ...ila baba alimaanisha kwamba wafanyabiashara wote n wezi? Maana alivyoconclude dah
 
Mama yangu ni mtu mzima na ameshaozesha watoto wake kadhaa wakike kwa wakiume ikiwa ni pamoja na watoto wake wa kuwazaa, watoto wengine wa ndugu zake na wengine tu aliyowalea

Siku zote dada zetu wakipata wachumba na kuwaleta kwa utambulisho nyumbani mama hana shinda hua anakua ni mwenye furaha na tabasamu muda wote. Pia anakua ni mcheshi sana kwa wakwe zake hao wa kiume watarajiwa

Kasheshe huja pale mwanae wa kiume anapotaka kuoa au kumtambulisha mchumba. Mama anakua sio mwepesi kukubal,i kwa maana atataka habari za kutosha za huyo mwanamke. Tena itamshughulisha kwa kuchukua hatua za kuwauliza watu wengine na huku akitaka wamfanyie uchungunguzi mkwe mtarajiwa

Kuna kaka yetu alipata mchumba Mwanza, alipokuja kumtambulisha home bi mkubwa alimuuliza maswali mengi sana na mwisho wa siku alifunga safari kwenda huko Mwanza kwa dada yake binamu, safari ambayo baadae tulikuja kujua ilikua ni ya kutaka kutafuta habari zaidi za huyo mtoto wa kike!

Bahati nzuri kwa upande wake alifanikiwa kupata taarifa alizokua anazihitaji kuhusu huyo shemeji yetu na kwa mshangao wa wengi alimkataa huyo binti kuolewa na brother! Pamoja na kaka kulalamika na kupinga mwisho wa siku amri ya Bi Mkubwa ilitekelezwa na sasa hivi kaka ana ndoa na mwanamke mwingine wakiishi kwa amani na furaha

Nilikua nadhani ni mama yetu pekee ndio yupo hivi lakini nilipata nafasi ya kuongea na watu kadhaa kuhusu hili na angalau watu watatu walinithibitishia kua wamewahi kushuhudia kina mama kadhaa wakiwa na tabia hiyo

Najiuliza katika dunia ya sasa jambo hili linanafasi kweli? Na nini hasa sababu ya mama zetu kua very protective kwa watoto wao wa kiume linapokuja suala la kuchagua mwenza wa maisha? Kwanini kina mama hao wa zamani wanawawekea vigezo vingi sana watoto wao wa kiume kuhusu aina ya wachumba wanaowapata wakati kwa watoto wao wa kike hawaweki vigezo vyovyote vya maana kuhusiana na hilo, kwani miminadhani ilipaswa kua kinyume chake
Mama anajua wakike nae ataenda uchunguzwe anakoolewa akiwa certified maisha yanaendelea...!!!!
 
Back
Top Bottom