Kina mama si kwa kuwachimba huku wakwe zenu wakike

Huyo kijana ni bwege
 
Its so sad kwakweli, ila huyo mkwe nae hakua na busara, maana katika hali ya namna hiyo ya kukataliwa na mzazi wa your hubby to be angejiweka kando mpaka labda mama aridhie

Tena mbaya zaidi kuna vigezo ambavyo dhahir vinaonekana unambambikia mwenzio. Kwmba tayari una watoto, tena wawili tena kutoka kwa wanaume tofauti halafu umempita mwanaume miaka KUMI! Mama alikua na haki kupinga aisee
 
Me naombeni mnieleweshe hii maana huwa inanipa maswali..eti kuna mama wakwe watoto wao wa kiume wakioa wanawaonea wivu wakwe zao? Na kwa nini?
 
Lakini kina baba huwa wana compromise kwenye masuala haya. Anaweza akakwambia halafu akakuacha mwenyewe ufanye maamuzi. Na pengine kina baba hua wanaelezaga wasiwasi kutokana na maneno wanayopewa na mama zetu huko chumbani
Inategemea ..baba akiona unapotea kabisa hatakwambia then akuache uamue atakwambia kabisa msimamo wake...mm ni shahidi wa hili maana baba aliwahi nipa onyo kipindi fulan ..halafu siyo wote wanakutilia wasiwasi kwa kumsikiliza mama mkuu ..wengine wanatumia utashi wao maana wapo wasiokuwa na wake.
 
Kwanza bi mkubwa alionyesha wasi wasi halafu baadae akaja kumpenda? Labda ule wasiwasi wake wa mwanzo ulikua na maana kubwa
Yawezekana, thou kuna mwingine niliowahi mpeleka hom hakuwahi kutiliwa shaka kabla ya huyu. Yule ilikuwa hata nisipokuwepo nikirudi nitawakuta wamekaa wanapiga stori fresh kabisa. Nilikujaga nikamuacha mimi mwenyewe, tangu nimemuacha sijawahi kupata mahusiano yenye Afya yakadumu hata miaka miwili.
 


dadangu alileta ujumbe hom anataka kuleta watu hom wajitambulishe dingi akauliza kazi yake akaambiwa mfanyabiashara..dingi aliropkwa neno 1..usiniletee majizi mm๐Ÿ˜Šakatia ngumu kweli kweli..kama unavyojua tena mama anataka mkwe tukaungana ndg wote tukimshinikiza dingi alegeze kamba...dadek hakuchukua kweli round..it was almsost 2 yrs only jamaaa akasarenda na mali za baba๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Šsince pale nilisema mm baba akikataa kuolewa na huyu mtu bas nami.sitataka kabs kulazimisha..aka..nashujuru Mungu alikubali baada ya kusikia anafanya Msc๐Ÿ˜Š
 
Hahahahahahahahahah mzazi ni mzazi tu ...ila baba alimaanisha kwamba wafanyabiashara wote n wezi? Maana alivyoconclude dah
 
Mama anajua wakike nae ataenda uchunguzwe anakoolewa akiwa certified maisha yanaendelea...!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ