PreGE2025 Kina Mama Ulanga, washika mabango yenye ujumbe 'No Reforms, No Election' na 'Tundu Lissu sio Mhaini'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kina Mama washika mabango yenye ujumbe wa "No Reforms, No Election" na "Tundu Lissu Sio Mhaini" katika Kata ya Minepa Kivukoni, Wilaya ya Ulanga, wakionesha msimamo wao dhidi ya kile walichokiita hali ya ukandamizaji wa kisiasa na ukosefu wa haki katika mfumo wa uchaguzi nchini kwenye mwendelezo wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.

safi
 
Sura kama wanaume
Nilijua wanaume hadi niliposoma kuwa ni wanawake.Wana sura za kiume
 
Hivi joka kuu linapoona hivi linajisikiaje,hasira,huzuni,furaha ama nini
 
Back
Top Bottom