Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
safiKina Mama washika mabango yenye ujumbe wa "No Reforms, No Election" na "Tundu Lissu Sio Mhaini" katika Kata ya Minepa Kivukoni, Wilaya ya Ulanga, wakionesha msimamo wao dhidi ya kile walichokiita hali ya ukandamizaji wa kisiasa na ukosefu wa haki katika mfumo wa uchaguzi nchini kwenye mwendelezo wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.
Sura kama wanaumeKina Mama washika mabango yenye ujumbe wa "No Reforms, No Election" na "Tundu Lissu Sio Mhaini" katika Kata ya Minepa Kivukoni, Wilaya ya Ulanga, wakionesha msimamo wao dhidi ya kile walichokiita hali ya ukandamizaji wa kisiasa na ukosefu wa haki katika mfumo wa uchaguzi nchini kwenye mwendelezo wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.
Kizimkazi sura yake ni kama li chura la baharini, limetuna na kuvimba kweliSura kama wanaume
Nilijua wanaume hadi niliposoma kuwa ni wanawake.Wana sura za kiume