Kina Mama wa watoto wanaotaka kina baba wasomeshe watoto shule za bei kubwa kuzidi uwezo wao, kuna mashindano ya siri ?

Kina Mama wa watoto wanaotaka kina baba wasomeshe watoto shule za bei kubwa kuzidi uwezo wao, kuna mashindano ya siri ?

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
mama watoto anakujia na form ya kujiunga shule private,

Chap chap jicho linaelekea kuangalia gharama, ada ina comma mbili, presha ishapanda

unashusha pumzi pengine labda anaweza kusaidia

unamuuliza ana kiasi gani alipie muhula huu wewe ulipie unaofata, anakujibu baba yake si upo,

Unamjibu kama upo basi mtoto ataenda kusoma shule ya kawaida maana hali yako kiuchumi anaijua

anaanza kulalamika watoto wa fulani wanaenda private wanapanda basi la njano, Eboooh !!

Kuna mashindano ya kuishi kwa kutaman maisha ya wengine kuliko uhalisia wenu ?
 
Back
Top Bottom