Kina Mama wa watoto wanaotaka kina baba wasomeshe watoto shule za bei kubwa kuzidi uwezo wao, kuna mashindano ya siri ?

Kina Mama wa watoto wanaotaka kina baba wasomeshe watoto shule za bei kubwa kuzidi uwezo wao, kuna mashindano ya siri ?

haki sawa kwenye jasho la mwanaume, jasho lao likiguswa utasikia mfumo dume
Ndio maana bado naishi na Ile principle ya MWANAUME KATAA NDOA

NDOA NI UTAPELI
NDOA NI UMASKINI.

Wanawake hawachelewi kukuletea visa mvurugane kidgo utaskia naomba talaka then tugawane mali.
 
Huyu anaishi na mkewe na wamezaa kwa mpango. Ila tatizo mama anapenda mashindano ndio anataka wapeleke shule ambayo hana uwezo nao. Wengi wanaolazimisha shule zinazowazidi gharama ni akina mama.
Hawezi kukubali
 
Huyu anaishi na mkewe na wamezaa kwa mpango. Ila tatizo mama anapenda mashindano ndio anataka wapeleke shule ambayo hana uwezo nao. Wengi wanaolazimisha shule zinazowazidi gharama ni akina mama.
Ok. .mwenye maamuzi ni baba. Amchukue mtoto akamwandikishe kayumba.
 
Kuna mwamba mmoja nilimsikia anasema, Nature ya mwanamke ni mbinafsi upande wa hela yake na ndio maana ndani ya nyumba mke akiwa na 1milion, mume akiwa na laki tatu, hiyo nyumba jumla ina laki tatu 3
[emoji3][emoji3][emoji3] eeh
 
sina haja na hela ya mwanamke..ni mtumishi nikakuta kakopa m8 toka mwaka majuzi nkapiga calculator na nipo nae(sina shida na hela yake)nkajiuliza kwa nini hakuniambia anauhitaji wa kiasi hiko au anampango wa kiasi flani kufanya nini...nkajisemea hapa hatupo pamoja...
 
Back
Top Bottom