round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Itakuwa ni uwendawazimu wa wazi kabisa.kuna mashindano ?
unamwambia nani..?Siku mkiacha kuzaa hovyo hovyo kero kama hizi hamtazisikia. Ishi na mtoto wako.
Weweunamwambia nani..?
Kuzaa hovyo kupoje madam?Siku mkiacha kuzaa hovyo hovyo kero kama hizi hamtazisikia. Ishi na mtoto wako.
mimi si mumeo kwanini unaniambia maneno yakuumiza utu wangu..?Wewe
Ishi na mtoto wako..umtafutie shule ya uwezo wako. Kama huishi nae basi umezaa hovyoKuzaa hovyo kupoje madam?
watoto wameripoti shule lkn wameacha kisanga nyumbani...🤣Watoto si wamesharipoti shule, wale wahenga
Mume gani unashindwa kusomesha mtoto shule ya milioni mbilimimi si mumeo kwanini unaniambia maneno yakuumiza utu wangu..?
lakini sinakufikisha!, mpk hapo inatoshaMume gani unashindwa kusomesha mtoto shule ya milioni mbili
Malalamiko yako hapa ni ada ya milioni mbili, usibadilishe madalakini sinakufikisha!, mpk hapo inatosha
Kwani lazima kumpeleka shule yenye ada Million 2, sentikayumber c zipo elimu bure kabisa mpaka form 6Malalamiko yako hapa ni ada ya milioni mbili, usibadilishe mada
Umenichekesha saana 😂Si mnasema cha muhimu tako Akili mtatumia za kwako? Ndo matokeo yake hayo Pambana mzee!!