Jumashebby
Senior Member
- Jan 25, 2025
- 111
- 244
Ndio maana bado naishi na Ile principle ya MWANAUME KATAA NDOAhaki sawa kwenye jasho la mwanaume, jasho lao likiguswa utasikia mfumo dume
Bangi na iheshimiwe na watu woteBangi hizi
Umeweza kubeba mimba miezi 9 alafu unashindwa kulipa ada,si bora unge flash tu!!Mume gani unashindwa kusomesha mtoto shule ya milioni mbili
Huyu anaishi na mkewe na wamezaa kwa mpango. Ila tatizo mama anapenda mashindano ndio anataka wapeleke shule ambayo hana uwezo nao. Wengi wanaolazimisha shule zinazowazidi gharama ni akina mama.Siku mkiacha kuzaa hovyo hovyo kero kama hizi hamtazisikia. Ishi na mtoto wako.
HahahahaDawa yao ni kuziponda private schools kwenda mbele huku tukiujua ukweli kuwa zinasaidia sana watoto kimasomo sema mchawi ni pesa.
Ulikataa nisiflashUmeweza kubeba mimba miezi 9 alafu unashindwa kulipa ada,si bora unge flash tu!!
Hawezi kukubaliHuyu anaishi na mkewe na wamezaa kwa mpango. Ila tatizo mama anapenda mashindano ndio anataka wapeleke shule ambayo hana uwezo nao. Wengi wanaolazimisha shule zinazowazidi gharama ni akina mama.
Ok. .mwenye maamuzi ni baba. Amchukue mtoto akamwandikishe kayumba.Huyu anaishi na mkewe na wamezaa kwa mpango. Ila tatizo mama anapenda mashindano ndio anataka wapeleke shule ambayo hana uwezo nao. Wengi wanaolazimisha shule zinazowazidi gharama ni akina mama.
Hawa wake zetu huwa wana vi mashindano vyao huko nje wakti sisi hatuna habari. Kama huna msimamo watakusumbua sana hawa.Hawezi kukubali
[emoji3][emoji3][emoji3] eehKuna mwamba mmoja nilimsikia anasema, Nature ya mwanamke ni mbinafsi upande wa hela yake na ndio maana ndani ya nyumba mke akiwa na 1milion, mume akiwa na laki tatu, hiyo nyumba jumla ina laki tatu 3
Naam na akiona kamba ni fupi airefusheItakuwa ni uwendawazimu wa wazi kabisa.
Kwa kawaida mbuzi huwa anakula kwa kadiri ya urefu wa kamba yake.