Matapeli ni maccm waliowadanganya wananchi kuwa nchi haina tena ufisadi wakati ndiyo kwanza ufisadi ulikuwa ndiyo unastawiKusema kweli saa ingine huwaona kama matapeli kuwatapeli wananchi kwa maneno ili matumbo yao yajae kwa ruzuku za uchaguzi.
Uchaguzi ukipita wananchi wanakuwa na masikio marefu kwa kusikiza mazingahombwe wao viongozi matumbo kama mgongo wa nyangumi.
Hakuna hawakupigwa banni ni waoga wa kupindukia, yaani ukitishwa ndio umepigwa bani wamewahi kustand na kupambana maana hilo halikuwepo kisheria waliwahi kwenda mahakamani kupinga,unakuwa kiongozi halafu unakuwa goigoi. waache siasa ,mmemuona Bob wayne?Mbona unakuwa msahaulifu mapema hivi? Si walipigwa ban ya kufanya siasa kwa miaka mitano na mwendazake? Ulitaka uwasikie wapi ikiwa hata vikao vya ndani mlikuwa mnawavamia na kuvuruga?
Hili boya kesho tu litaanza kulilia mafao au makato ya heslibkipindi wakati mda wote wanapiga kelele na kupambania haki yako kama mwananchi, wewe kama mwananchi ulifanya nini ku suport kupata haki yako??
Wewe ni mnyonge au mnyongaji?Mnyonge
Hawa wagombea urais CCM walisubiri pia mwaka wa uchaguzi... wanasubiri mpaka bado mwezi uchaguzi ndio unawaona kiguu na njia maneno makubwa makubwa na makeke huku wakitoa vitisho kwa serikali iliyopo madarakani,
Vipi ulienda kutoa pole kwa walionusurika kifo kwa risasi za mbavu na pliers za meno? Waliopotezwa na kuuawa familia zao ulienda kuwafariji? Au wewe ni wale keyboard warriors ambao uraiani hakuna la maana mnafanya. Uko hapa kusisitiza viongozi wa upinzani wafanye jambo ambalo wewe hauko tayari kulipa gharama yake.hakuna hawakupigwa banni ni waoga wa kupindukia,yaani ukitishwa ndio umepigwa bani wamewahi kustand na kupambana maana hilo halikuwepo kisheria waliwahi kwenda mahakamani kupinga,unakuwa kiongozi halafu unakuwa goigoi. waache siasa ,mmemuona Bob wayne ?
unachawa unawashwawashwa unataka waseme nini c tuliambiwa uchaguzi umeisha ni muda wa kufanya kazi hakuna siasa hadi kipindi cha uchaguzi,au wameruhusiwa kufanya siasa na mikusanyikoHili sina huruma nalo,wananchi walio wengi huingizwa kwenye mkenge na viongozi hawa wa upande wa vyama vya upinzani na hata kuthubutu kuwaambia waandamane.
Hivi ssasa wamekaa kimya huwasikii kabisa na hata ukiwasikia sauti zao ni kama vile unatafuta station ya redio kwenye shortwave2 ,hatuwasikii kuzungumzia iwe kwenye vikao vya ndani au kuita vyombo vya habari yale mambo muhimu yahusuyo uchaguzi ,wanasubiri mpaka bado mwezi uchaguzi ndio unawaona kiguu na njia maneno makubwa makubwa na makeke huku wakitoa vitisho kwa serikali iliyopo madarakani,madai yao yanarudi tume sio huru ,uchaguzi huu utakuwa sio wa haki na virugu kibao wakiwapiga virugu na kuwalainisha wananchi kama pweza ili waingie kikaangoni kuwapambanisha na dola.