Kina Mrema 2024 walikuja na kauli mbiu ya "watake wasitake" hivi ni nzuri kuliko ya No reforms No Election?

Kina Mrema 2024 walikuja na kauli mbiu ya "watake wasitake" hivi ni nzuri kuliko ya No reforms No Election?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Mwaka 2024 wakati John Mrema akiwa ni sehemu ya viongozi wa CHADEMA Makao Makuu, walitoa kauli mbiu ambayo ilitumika kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa.

Kauli mbiu hiyo ya "WATAKE WASITAKE" ilikuwa inaashiria kumbukizi ya kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 na kwamba kwenye uchaguzi wa 2024 CHADEMA watazuia kisitokee tena.

Sasa kaulimbiu ya watake waistake na hii ya No reforms No Election ipi imekaa kisharishari?
 
Back
Top Bottom