Kina nani hawakupinga misaada ya kigeni kabla ili kutaka kujitegemea?

Kina Bantugro na sisi wengine hatujaanza leo kupinga misaada ya kigeni ilivyo Sasa...
 
Lakini JPM amepunguza sana utegemezi na mfano wake ameweza kufanya uchaguzi bila pesa za wazungu. Vile vile miradi ya kimkakati anatumia pesa za ndani pamoja na kuhimiza kufanya kazi na sio kutegemea kukinga bakuli na kuvinjari dunia nzima. Makusanyo ya Serikali yamekuwa makubwa na migomo ya wanafunzi imekuwa hadithi nk. 6 months import cover ipo na hategemei pesa za wazungu kulipa mishahara etc.
 
Na Hilo ni mojawapo ya Mambo yanayonifanya nimkubali jamaaa
 
Ili wakwibe vzr
 
Ukivumilia kwa Imani sala zinajibiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…