Kina Nyundo wakutwa na Kesi ya Kujibu (Sakata la Binti wa Yombo)

Inadaiwa huyo mwanamke alikuwa kwenye biashara ya kujiuza, labda kosa ni kusumbaza picha za ngono kwenye mtadao.
Hakuna kesi ya kubaka hapo
Imagine hao jamaa waseme kwamba sisi tulikubaliana na hayo maneno yaliosikika ilikuwa ni mood tu ya game.
Ndio maana hata binti mwenyewe hakushtaki awali
 
Mbna kesi zngne za ubakaji bila hata video watu wanalamba 30yrs au maisha why ya hawa iwe ngumu? Wakat ushahidi uko wazi kabsa na masura yao yapo hapo na vile vile kuna tishio la kujeruhi pia
Ushahidi gani? A Clip?
 

Wale madogo walijiamini kama watalindwa. Na kama sio kelele, ingewezekana maana ile statement ya kusema huyu si alikuwa dada poa tu, haikuja kwa bahati nasibu.
Hakuna aliyejuu ya sheria, hata kama tuna vyeo vya aina gani. Huwa tunajisahau. Na tunapowajibishwa, tunabaki kusononeka kama tunaonewa au watu hawathamini mchango wetu kwenye maendeleo na ustawi wa taifa letu.
Tujifunze kuwa wanyenyekevu.
 
hilo halina ubishi, alikuwa anauza uchi, ni kahaba mkongwe.
 
Makuruta wale hawana akili
Wale walipokunywa pombe+mibangi wakajiona tayari
Humo kwenye vyombo vya ulinZi
Na usalama kumejaa watu wa ovyo tuu

Ova
 
Mnaosema aliutaka hebu jaribuni kuvaa viatu vya wazazi wake au imagine angekuwa mdogo,dada ako au mwanao ungejisikiaje
watanzania mbona mna ulimbukeni mwingi vichwani mwenu dah kuweni wastaarabu basi
 
Inadaiwa huyo mwanamke alikuwa kwenye biashara ya kujiuza, labda kosa ni kusumbaza picha za ngono kwenye mtadao.
Hakuna kesi ya kubaka hapo
Kujiuza kusihalalishe mumuingilie mwanamke kinyume na maumbile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…