Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Ponda atakua ameonewa,mbona serikali haiwashitaki watu wasiojitekeza kupiga kwa makusudi? Iweje wang'ang'ania watu kuhesabiwa?
Unaelewa maana hasa ya sensa au hujui? Halafu utalalamika serikali haitoi huduma?