Kina shida gani hiki kidole wataalamu na tutibu vipi?

Kina shida gani hiki kidole wataalamu na tutibu vipi?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Hili tatizo linazidi kukua, ilianza kama. Mstari hivi pembeni linakula kucha ya mtoto.

IMG_20230603_075427.jpg
IMG_20230603_075458.jpg
 
Poleni Sana Sana
Wahi Hospital Kwa Hatua Za Awali Kuona Tu Unaweza Ukapata Ushauri Ila Isitoshe
Labda Wart Ama Ni Jambo Jingine
 
Hiyo ni tinea unguum
Dawa nunua terbinafine Mara moja kwa siku atatumia kwa wiki 6 Hadi wiki8
Kwa kifupi ni fangasi
Nb. Apewe dozi ya mtoto
Ushauri nenda hospital haraka ili awahi kupona
 
Back
Top Bottom