Kinacho waumiza kichwa WCB

Nani kakudanganya kuwa sasa pesa anayopata yote ni take peke take? We unadhani ule msululu wa watu wanaishi kwa pesa za nani?
jembe ni jembe, mjerumani,jaburanti msululu uko wapi?
 
Unajifinya na kujitekenya mwenyewe. Diamond na harmonize wapi na wapi?. Diamond ndio kamtoa hamo. Kwa Diamond ujue ana mbinu kubwa kuzidi huyo dogo. Ukija kwenye swala la mziki Diamond ni akili kubwa sana yule dogo. Na ukitaka kushuhudia kupotea kwa hamo ni kufuata mawazo yako ya kutaka kupambana na mtu
 
Baada ya kujitoa WCB katoa nyimbo mbili hadi leo hajafikisha views mil 1 kila wimbo,soon ataanza kushindana na kina rostam na ney wa mitego kwa show za bongo
Kwahiyo Siku Hizi Ubora Wa Nyimbo Umekuwa Ni Views YouTube ?

Hiki Kizazi Kimejaa Viazi Tupu :-(.
 
Thibitisha
Baada ya kujitoa WCB katoa nyimbo mbili hadi leo hajafikisha views mil 1 kila wimbo,soon ataanza kushindana na kina rostam na ney wa mitego kwa show za bongo
 
Baada ya kujitoa WCB katoa nyimbo mbili hadi leo hajafikisha views mil 1 kila wimbo,soon ataanza kushindana na kina rostam na ney wa mitego kwa show za bongo
Manyumbu wa WCB si mnafanya kampeni ya views YouTube?hata ngoma ikiwa mbaya na kublock viewers wa wasanii wengine..mkishindwa mnawanywesha sumu
 
Baada ya kujitoa WCB katoa nyimbo mbili hadi leo hajafikisha views mil 1 kila wimbo,soon ataanza kushindana na kina rostam na ney wa mitego kwa show za bongo
Huhuhu sio zake ameshirikishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…