Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu nitagNani kakudanganya kuwa sasa pesa anayopata yote ni take peke take? We unadhani ule msululu wa watu wanaishi kwa pesa za nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] it's why I love it up here.
Wewe ni mzito kuelewa, endelea kujifunzaNani kakudanganya kuwa sasa pesa anayopata yote ni take peke take? We unadhani ule msululu wa watu wanaishi kwa pesa za nani?
Kwahiyo Siku Hizi Ubora Wa Nyimbo Umekuwa Ni Views YouTube ?Baada ya kujitoa WCB katoa nyimbo mbili hadi leo hajafikisha views mil 1 kila wimbo,soon ataanza kushindana na kina rostam na ney wa mitego kwa show za bongo
Baada ya kujitoa WCB katoa nyimbo mbili hadi leo hajafikisha views mil 1 kila wimbo,soon ataanza kushindana na kina rostam na ney wa mitego kwa show za bongo
Manyumbu wa WCB si mnafanya kampeni ya views YouTube?hata ngoma ikiwa mbaya na kublock viewers wa wasanii wengine..mkishindwa mnawanywesha sumuBaada ya kujitoa WCB katoa nyimbo mbili hadi leo hajafikisha views mil 1 kila wimbo,soon ataanza kushindana na kina rostam na ney wa mitego kwa show za bongo
Huhuhu sio zake ameshirikishwaBaada ya kujitoa WCB katoa nyimbo mbili hadi leo hajafikisha views mil 1 kila wimbo,soon ataanza kushindana na kina rostam na ney wa mitego kwa show za bongo