Binafsi huwa siendi sehemu km hizi ila wenye interest zao wacha waende hapo mpaka watu wa makamo wapo sio vijana tuKweli ujana ni nusu ya uwendawazimu.....yaani unatoa elfu kumi yako kwa ajili kuingia kwenye huo msongamano....!!??
Sasa hapo starehe yenyewe ya mziki ipo wapi..maana hapo huwezi kusogeza hata mkono....
Unakumbuka Michael Jackson enzi zake wazungu hata pakutema mate walikuwa hawapatiKweli ujana ni nusu ya uwendawazimu.....yaani unatoa elfu kumi yako kwa ajili kuingia kwenye huo msongamano....!!??
Sasa hapo starehe yenyewe ya mziki ipo wapi..maana hapo huwezi kusogeza hata mkono....
Jamani hii lugha tamu tujivunie vya Kwetu bhe mwaghitoNdiwona vipalang'anaaaa helaaa si lilino ambi tiwona vadehileeee fevyaliyeee pa munyiiiiii
Hizi team zitawaua bure na wewe unaongea sana kama vile msemaji wa WCB?haya nyie mateam kiba na mond mimi team lonely[emoji30]Mashemeji zangu watoto wa kariakoo mnatia huruma! Najiskia niwachane ili mnuneeee [emoji23]
Naona hizi shoo za mwisho wa mwaka tumewashikisha adabu [emoji23] [emoji23]
Sisi ndio WCB we get it custom, nyinyi watoto wa kariakoo you are just customers..
Kasi tunayokuja nayo sasa nawashauri mjenge fensi pale kariakoo! Ila msisahau WCB we digging tunnels.. You will be surprised when we get the money right up under you.. [emoji123] [emoji123]
# WCB # WinnersCycle
Hizo ni nywele au watu!?Hii inaitwa kufukuza chizi na makopo yakeView attachment 450365
We ulitaka na gari zikae hapo kwenye watu? Jaman tuache ushabiki wa ajabu ajabu.... Wew upo huko uliko mimi nilikuwa hiyo sehemu ambayo ww unahadithiwa... Mbna simpo kuelewa...View attachment 450333 Hapo Gari zinaingilia Wapi???? Acha uongo akati mwishooo kule watu wanasukumana kama Mbele huku
Ww unaujua hata jukwaa lilivyokaa? Ushabiki wa hovyo kabisa... Ivi kuna uwanja wa mpira mdogo kiasi hcho unachokiona?View attachment 450333 Hapo Gari zinaingilia Wapi???? Acha uongo akati mwishooo kule watu wanasukumana kama Mbele huku
Hahahaha wewe ni team kiba ila hakuna unachokijua kuhusu timu unayoishabikia. Huyo mtu wenu anapenda kulalamika sana alaff hataki kupiga kazi anafikiria mafanikio yanakuja kwa kuwa na watu 100 instagram wa kukusifia na kutukana wengine.Wasafi team nzima vs jeshi la mtu mmoja king kiba na bado mnapumulia mipira
Unakumbuka Michael Jackson enzi zake wazungu hata pakutema mate walikuwa hawapati
Diamond balaa aisee. Nimeona yule jamaa amefanya shoo sebuleni. Kibakuli bado sana.
Duuuh utadhani zambarau zimemwagwa kwa wingi au ubuyu kumbe ni watu....hii ni nooooooooomaaaaView attachment 450333 Hapo Gari zinaingilia Wapi???? Acha uongo akati mwishooo kule watu wanasukumana kama Mbele huku