Kinachoendelea Iringa Samora, Diamond hii ni kufuru!

Kinachoendelea Iringa Samora, Diamond hii ni kufuru!

Dah mondi kawalipia ao washabiki ôte ili waingiye bure ??huyu jama anapesaa kweli yéyé ananunua tuuu .
 
Kweli ujana ni nusu ya uwendawazimu.....yaani unatoa elfu kumi yako kwa ajili kuingia kwenye huo msongamano....!!??

Sasa hapo starehe yenyewe ya mziki ipo wapi..maana hapo huwezi kusogeza hata mkono....
 
Binafsi huwa siendi sehemu km hizi ila wenye interest zao wacha waende hapo mpaka watu wa makamo wapo sio vijana tu
 
Kweli ujana ni nusu ya uwendawazimu.....yaani unatoa elfu kumi yako kwa ajili kuingia kwenye huo msongamano....!!??

Sasa hapo starehe yenyewe ya mziki ipo wapi..maana hapo huwezi kusogeza hata mkono....
Unakumbuka Michael Jackson enzi zake wazungu hata pakutema mate walikuwa hawapati
 
Mashemeji zangu watoto wa kariakoo mnatia huruma! Najiskia niwachane ili mnuneeee [emoji23]

Naona hizi shoo za mwisho wa mwaka tumewashikisha adabu [emoji23] [emoji23]

Sisi ndio WCB we get it custom, nyinyi watoto wa kariakoo you are just customers..

Kasi tunayokuja nayo sasa nawashauri mjenge fensi pale kariakoo! Ila msisahau WCB we digging tunnels.. You will be surprised when we get the money right up under you.. [emoji123] [emoji123]

# WCB # WinnersCycle
Hizi team zitawaua bure na wewe unaongea sana kama vile msemaji wa WCB?haya nyie mateam kiba na mond mimi team lonely[emoji30]
 
View attachment 450333 Hapo Gari zinaingilia Wapi???? Acha uongo akati mwishooo kule watu wanasukumana kama Mbele huku
We ulitaka na gari zikae hapo kwenye watu? Jaman tuache ushabiki wa ajabu ajabu.... Wew upo huko uliko mimi nilikuwa hiyo sehemu ambayo ww unahadithiwa... Mbna simpo kuelewa...
 
Wasafi team nzima vs jeshi la mtu mmoja king kiba na bado mnapumulia mipira
Hahahaha wewe ni team kiba ila hakuna unachokijua kuhusu timu unayoishabikia. Huyo mtu wenu anapenda kulalamika sana alaff hataki kupiga kazi anafikiria mafanikio yanakuja kwa kuwa na watu 100 instagram wa kukusifia na kutukana wengine.
Alaff kuhusu kwamba alikiba ni jeshi la mtu mmoja hapo hua mnajifariji ukweli ni kwamba kiba anakiteam chake pia tena wako wengi sana wanapambana na mond mfano kuna , abbyskiillz, baraka,mziwanda,AT, mr blue, jay dee , dimpoz , abdu kiba na wengine wengi ukifuatilia hawa wote hawatoi ngoma kwa pamoja hua wanasubili WCB wakitoa ngoma nawao wanatoa hapo hapo ili kupunguza speed ya wimbo wa wcb anyway ushindani unatakiwa ili kazen upaja maake wengi wenu nyinyi undergraund
 
Kwenye mambo ya maana hawajitokezi, kwenye upuuzi wanajaa, dunia imefika kikomo. Subiri parapanda mchezo uishe. Endeleeni kula ujana, ila dunia siyo ya mzungu.
 
Back
Top Bottom