Kinachoendelea Iringa Samora, Diamond hii ni kufuru!

Nilipigwa na bumbuwazi kuwa Nifa na WCF wapi na wapi?
Nikahisi nimekutana na meli Airport!
 
Beach party na Iringa ni rasha rasha tu huu mwaka 2016.
Bado 2017 new year mambo matamu yaja tukae mkao wa kula.@Wasafi make great bongoflavar again-2017.
2017 now tunakimbilia U.S.A.
 
Kwa hiyo io ndo kufuru.?
 
Ally naye aweke zake tukumbukie mwaka jana mambo ya 'mafuriko, tsunami, utitiri'............... wapi Mzee Masako.
 
Wakati WCB wanatengeneza fwedha,wale muziki mzuri wanabishia kujaa kwa washabiki,kama vile wana mgao wao iwapo mashabiki hawajai.
 
Nifah yupo wapi.? huwa napenda sana anavyowaponda WCB, ingawa yeye mwenyewe kimoyomoyo anajua WCB ndo wafalme halisi.
 
Ni app yangu inazingua au nimepotea sana humu Jf ? Hii avatar inanikumbusha ni ya dada mmoja anaitwa Nifah

Teh au mkuu umebeba jumla jumla ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo kaka wewe nae umepotea sana,ni juzi tu tulikuwa tunakukumbuka na Heaven Sent

Kupotea huku ipo siku utakuja kukutana na wajomba zako uwaulize baba yao ni nani [emoji6]
 
Aiseee hongera sana dada ,Nipo kuna mda jukwaa la Siasa lilinichosha nikaamua kukaa kimya
 
Nifah yupo wapi.? huwa napenda sana anavyowaponda WCB, ingawa yeye mwenyewe kimoyomoyo anajua WCB ndo wafalme halisi.
Nikisema mnanitukana,nisiposema mnanimiss
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa hivi nimefichwa [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…