idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Nilipigwa na bumbuwazi kuwa Nifa na WCF wapi na wapi?Mashemeji zangu watoto wa kariakoo mnatia huruma! Najiskia niwachane ili mnuneeee [emoji23]
Naona hizi shoo za mwisho wa mwaka tumewashikisha adabu [emoji23] [emoji23]
Sisi ndio WCB we get it custom, nyinyi watoto wa kariakoo you are just customers..
Kasi tunayokuja nayo sasa nawashauri mjenge fensi pale kariakoo! Ila msisahau WCB we digging tunnels.. You will be surprised when we get the money right up under you.. [emoji123] [emoji123]
# WCB # WinnersCycle
Nikahisi nimekutana na meli Airport!