Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 660
- 1,081
Nimekuwepo huko katika harakati za maisha lakini naona kuna hali ya hatari hasa kwa wafanyabiashara wa mazao mana wanavamiwa na kupigwa mapanga na pia kupora hela zao.
Matukio hayo yapo zaid katika vijiji vya legeza legeza mwendo,mkombo,kalembe na kitongoji cha utengule. Sisi kama raia wema tunajiuliza hivi kweli katika matukio yanayoendelea Serikali imeshindwa kabisa kuchukua hatua na kukomesha hali ya sintofaham inayoendelea?
Wanaofanya vitendo hivi sidhan kama wanatoka mbali na maeneo hayo hivo nashangaa vitendo hivi vinazidi kukithiri siku hadi siku na mbaya zaid hakuna hatua zozote zinazochukuliwa.
Nadhani hali hio itafanya wafanyabiashara kuogopa kwenda maeneo hayo na hivyo itazorotesha sana hali ya maisha ya watu hao na hivyo kupelekea umasikini kukithiri.
Hivyo tunatoa rai kwa Serikali kuchukua hatua na kukamata wale wote wanaohusika mana naona watendaji wa vijiji,madiwan na hata machief wameelemewa kaz na wao pia wanajinusuru na maisha yao.
Tunaiomba Serikali ifanye kitu mana nina uwakika ikiwekwa kambi ndan ya wiki 2 tu kila kitu kitakuwa wazi na wote wanaofanya vitendo hivyo watafahamika
Naomba kuwasilisha.