Yale yale ya bukoba mjini!! BK waliojiandikisha 63000+ waliopiga kura 33000+, what the hell are these NEC?
Wanamkomoa nani sijui? Hawa watu hawaitakii mema Tanzania ila wako kwa maslahi yao pekeee.
Inatia kinyaaa, kichefu chefu, inavunja moyo, inatia hasira na inanunisha na kuijengea jamii uadui ambao ukifumka sidhani kama watu tutaheshimiana wakuu.
Yaani NEC wanaona sawa tu, serikali wanaona sawa tu? wakuu tufanyeje? Maana hawa CCM hata kuzungumzia kubadili katiba ndo kwanza wanaipa viraka viraka kila kukicha kwa manufaa yao. I hate, I hate this.