Zion Train
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 501
- 78
uchaguzi huu ukiisha kama mahakama zetu zitafanya kazi bila ya kuingiliwa, tutaona makubwa kabla mwaka haujesha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie watu wa CHADEMA ni watu wa ajabu sana. kwani Lipumba kupata kura nyingi kuliko Slaa ni tatizo? au kwa kuwa kwenyehilo jimbo kuna waikristu wengi? Inajulikana uchaguzi wa mwaka huu ni Waislamu vs Waikristu inasikitisha sana ila matokeo ya urais yanaonesha hali hiyo.Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma
Matokeo Tunduru Kaskazini
Kikwete amepata kura 22,261
Slaa amepata kura 1,965
Lipumba amepata kura 12,935
Nyie watu wa CADEMA ni watu wa ajabu sana. kwani Lipumba kupata kura nyingi kuliko Slaa ni tatizo? au kwa kuwa kwenyehilo jimbo kuna waikristu wengi? Inajulikana uchaguzi wa mwaka huu ni Waislamu vs Waikristu inasikitisha sana ila matokeo ya urais yanaonesha hali hiyo.
Nyie watu wa CHADEMA ni watu wa ajabu sana. kwani Lipumba kupata kura nyingi kuliko Slaa ni tatizo? au kwa kuwa kwenyehilo jimbo kuna waikristu wengi? Inajulikana uchaguzi wa mwaka huu ni Waislamu vs Waikristu inasikitisha sana ila matokeo ya urais yanaonesha hali hiyo.
</p>Radio gani wametangaza wakati hajatangazwa na tume? hizo ni tetesi tusubiri na kwa taharifa yako wanatangazia Anatouglo ndio wapo wanasubiria kwa sasa wote Makongoro na Mpendazoe
Kwani aliyeanzisha thread hii ameongelea udini?