Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utata upi, ule wa Mahanga kukamatwa na mabox 12 ya kura ndani ya private car? Hivi kweli hili si kosa la jinai, mbona hayuko Segerea hadi sasa? Ninachojua haruhusiwi mtu kuwa na yale mabox yawe tupu au na kitu kama si mhusika (tume, masimamizi. wasambazaji,etc) na mgombea tena ni ndoto kabisa. Ingekuwa ni mgombea wa Chadema amepatikana na masanduku hayo ingekuwaje? Sheria itende haki!!
Nasikia Mahanga anagoma kusaini matokeo anadai yahesabiwe yale mabox 12 kwanza!! Hivi huyu si kati ya wale list of shame in mafisadis wa elimu? Nimeanza kumtilia mashaka!!
Jambo kiongozi ,
Nipe Ukweli Tume imetangaza matokeo ya segerea au ni Radio mbao tu
Mabusi
Mkuu Mashishanga ni Mwenyekiti wa Jimbo la Segerea CHADEMA. Nilikuwa naye bega kwa bega shule ya msingi Kimanga na Tumaini. Atachosema ni kweli maana anawabana kisawasawa mawakala. Ila Mpendazoe anasubiri tu kutangazwa. Binafsi napenda sana data, ila kwa kuwa Segerea ndo ngome yangu najua kinachoendelea. Tupo ma-Brigadier tutalinda kwa "Operation Chakaza." Peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss!
Acha woga mbona sehemu nyingine wameshinda kama Arusha town, Mbeya n.k
Tuseme tu labda kura hazitatosha kwa Mpendadezo

Muda mfupi nimezungumza kwa njia ya simu na mmoja wa wasimamizi wa uchaguzi jimbo la Segerea ambaye pia ni Afisa Mtendaji wa kata moja wapo katika jimbo hilo.
Iko hivi:
- Majumuisho ya kura zote kutoka vituoni yanaonesha Mh. Mpendazoe anaongoza.
Maana yake nini?
- Kila wakala wa chama, baada ya majumuisho anapewa nakala ya idadi ya kura kwa kila kituo. hili ni agizo la waangalizi wa kimataifa(wadhungu) ambako Bwana Mkubwa JK huenda kufanya umatonya.
Matokeo yaliyojumuishwa na mawakala na wasimamizi hayawezi kuchezewa. Hata yakichezewa, nakala za matokeo ni vithibitisho tosha (hata mahakamani) kinachoweza kuwa matokeo yamechakachuliwa.
Kwa hiyo wana-jamvi. Tulieni. Sauti ya umma imesikika Segerea.
Mkuu Mashishanga ni Mwenyekiti wa Jimbo la Segerea CHADEMA. Nilikuwa naye bega kwa bega shule ya msingi Kimanga na Tumaini. Atachosema ni kweli maana anawabana kisawasawa mawakala. Ila Mpendazoe anasubiri tu kutangazwa. Binafsi napenda sana data, ila kwa kuwa Segerea ndo ngome yangu najua kinachoendelea. Tupo ma-Brigadier tutalinda kwa "Operation Chakaza." Peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss!
Siyo kweli! Anaongoza Kimanga tu. Wanarudia kuhesabu, nimepigiwa simu na mmoja wa wasimamizi, ila hajui ni kashinikiza kurudia kwani wote walikuwa hawaridhiki Mpenda na Mahanga! So still unkown