Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

Status
Not open for further replies.
Kwa jinsi nilivyopiga kampeni jimbo hili na nguvu ya ushawishi niliyowekeza mpaka baadhi ya makada wa CCM wakaenda kupiga kura Chadema naona kimya mpaka leo inakuwaje jamani!!!!:sad:
 
nimepewa habari nikaambiwa ni top secret, kuwa kuna mpango wa kuchakachua matokeo ya segerea na ukonga ili sisiem washinde. hicho ndio nilichokimaanisha. inatakiwa vijana wakalinde haki zao kama walivyofanya wa ubungo!
 
Utata upi, ule wa Mahanga kukamatwa na mabox 12 ya kura ndani ya private car? Hivi kweli hili si kosa la jinai, mbona hayuko Segerea hadi sasa? Ninachojua haruhusiwi mtu kuwa na yale mabox yawe tupu au na kitu kama si mhusika (tume, masimamizi. wasambazaji,etc) na mgombea tena ni ndoto kabisa. Ingekuwa ni mgombea wa Chadema amepatikana na masanduku hayo ingekuwaje? Sheria itende haki!!

Nasikia Mahanga anagoma kusaini matokeo anadai yahesabiwe yale mabox 12 kwanza!! Hivi huyu si kati ya wale list of shame in mafisadis wa elimu? Nimeanza kumtilia mashaka!!

Kukutwa na mabox ya kura ni kosa la jinai na huyu Mahanga anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashtaka. Lakini labda kwa vile NEC yenyewe iko mfukoni mwa Chama cha Mafisadi huenda hata kura alizokuwa nazo kwenye mabox zikahesabiwa ili Mpendazoe asishinde.

Nionavyo mimi, kama chama cha siasa kitajihusisha na wizi wa kura wazi wazi, basi hata kikishinda uchaguzi hakitashughulikia wezi, na mali ya umma yataendelea kukwapuliwa, miradi ya umma haitatekelezwa kikamilifu na wananchi tutaendelea kutumbukia ktk lindi la umaskini. Matatizo ya ujinga (elimu) na Maradhi hayatashughulikiwa ipasavyo na serikali itokanayo na chama hicho.

Ole wetu WaTz.
 
Kuna mtu amekwenda jela miaka 3 why not Makongolo
 
Ina maana hamjui hizo box alitumiwa na nec.wabunge wengi tu wa ccm wamepewa kila mtu box 15 ili ziwapush,so chamsingi abanwe aseme hizo box 3 zimekwenda wapi
 
MTAMA & MCHINGA CONFIRMED CCM:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Mi napata wacwac kuhusu segerea na kuchakachua matokeo ya segerea
 
Mkuu Mashishanga ni Mwenyekiti wa Jimbo la Segerea CHADEMA. Nilikuwa naye bega kwa bega shule ya msingi Kimanga na Tumaini. Atachosema ni kweli maana anawabana kisawasawa mawakala. Ila Mpendazoe anasubiri tu kutangazwa. Binafsi napenda sana data, ila kwa kuwa Segerea ndo ngome yangu najua kinachoendelea. Tupo ma-Brigadier tutalinda kwa "Operation Chakaza." Peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss!

Acha woga mbona sehemu nyingine wameshinda kama Arusha town, Mbeya n.k

Tuseme tu labda kura hazitatosha kwa Mpendadezo
 
Acha woga mbona sehemu nyingine wameshinda kama Arusha town, Mbeya n.k

Tuseme tu labda kura hazitatosha kwa Mpendadezo

Mkuu Barubaru heshima kwako, tuwe waungwana kama Kura Zingekuwa hazijatosha kwa Mpendazoe basi wangeshatangaza Muda mrefu sana
 
Acha woga mbona sehemu nyingine wameshinda kama Arusha town, Mbeya n.k

Tuseme tu labda kura hazitatosha kwa Mpendadezo

Mkuu Barubaru sijaona nilipokosea. Nashangaa unanishambulia. Anyway, lets wait.
 
Acha woga mbona sehemu nyingine wameshinda kama Arusha town, Mbeya n.k

Tuseme tu labda kura hazitatosha kwa Mpendadezo

Mkuu inside info ni kuwa JK ametoa firm instruction kwa tume kuwa HAKUNA KUTANGAZA MATOKEO YEYOTE AMBAYO AMESHINDWA AU MBUNGE WAKE KUSHINDWA BILA KUM CONSULT...likiwemo hii ishu ya SEGEREA ameshawaeleza mkurugenzi wa ILALA anataka kusikia makongoro anakuwa mbunge...la ajiandae kuandika barua ya kuacha kazi au asubiri adhabu kama ambayo inamsubiri mkurugenzi wa Kinondoni ..NA AMEMPA MAELEKEZO MSAIDIZI WAKE MBENNA NA TEAM YAKE KUWEPO TUME KUHAKIKI MATOKEO YOTE KABLA HAYAJAENDA HEWANI ....NA WAO NDIO WANWEKA STRATEGY KUWA YAPO YAANZE KUTOKA NA KWA KUANZIA WAMEANZA NA MAENEO YALE AMBAYO CUF na CCM WAMESHINDA...as you know tayari wana mkataba wa ushirikiano na huwezi kusema tena ni wapinzani 100%....Lengo ni kuwavunja moyo wafuasi wa CHADEMA ili wale walio vituoni na wenye tension wakose nguvu ...ya kushinikiza....matokeo ya maeneo CHADEMA waliyoongoza yatakuwa yanatolewa kidogo kidogo na kwa mkupuo siku ya mwisho ya kutoa matokeo ya jumla ..yakiwa yameshachakachuliwa na hapo hapo JK anatangazwa...wakuu sio kuwa JK atashindwa ....ila kihalali amepata asilimia 55% na yeye hataki anasema ni AIBU ,,,,anataka matokeo yaoneshe asilimia angalau 75%....

thx
kingi
 
Muda mfupi nimezungumza kwa njia ya simu na mmoja wa wasimamizi wa uchaguzi jimbo la Segerea ambaye pia ni Afisa Mtendaji wa kata moja wapo katika jimbo hilo.

Iko hivi:


  • Majumuisho ya kura zote kutoka vituoni yanaonesha Mh. Mpendazoe anaongoza.

  • Kila wakala wa chama, baada ya majumuisho anapewa nakala ya idadi ya kura kwa kila kituo. hili ni agizo la waangalizi wa kimataifa(wadhungu) ambako Bwana Mkubwa JK huenda kufanya umatonya.
Maana yake nini?
Matokeo yaliyojumuishwa na mawakala na wasimamizi hayawezi kuchezewa. Hata yakichezewa, nakala za matokeo ni vithibitisho tosha (hata mahakamani) kinachoweza kuwa matokeo yamechakachuliwa.

Kwa hiyo wana-jamvi. Tulieni. Sauti ya umma imesikika Segerea.

Siyo kweli! Anaongoza Kimanga tu. Wanarudia kuhesabu, nimepigiwa simu na mmoja wa wasimamizi, ila hajui ni kashinikiza kurudia kwani wote walikuwa hawaridhiki Mpenda na Mahanga! So still unkown
 
Du yani wanasubiri matokeo ya kiwalani? Mi nimetoka Tabata bima mpaka k.koo kwa mguu asubuhi nikienda kushop,Sasa mbali wapi jamani? Kiravu si hata akodi bajaj apeleke izo kura za Mpendazoe ili zitoshe. Mpendazoe,tunakusubiri ili tukamilishe second eleven,mana first eleven iko uwanjani tayari. Mh.Slaa kazi yake si mchezo,ameingiza nguvu ya umma mpya bungeni.
 
Mkuu Mashishanga ni Mwenyekiti wa Jimbo la Segerea CHADEMA. Nilikuwa naye bega kwa bega shule ya msingi Kimanga na Tumaini. Atachosema ni kweli maana anawabana kisawasawa mawakala. Ila Mpendazoe anasubiri tu kutangazwa. Binafsi napenda sana data, ila kwa kuwa Segerea ndo ngome yangu najua kinachoendelea. Tupo ma-Brigadier tutalinda kwa "Operation Chakaza." Peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss!

man una sound kama FMES
 
Siyo kweli! Anaongoza Kimanga tu. Wanarudia kuhesabu, nimepigiwa simu na mmoja wa wasimamizi, ila hajui ni kashinikiza kurudia kwani wote walikuwa hawaridhiki Mpenda na Mahanga! So still unkown

Mhhh hata wewe siyo mkweli tena hebu angalia unavyojichanganya/contradict hapa kwenye red. Kwanza unasema mpendazoe anaongoza kata moja tu ya Kimanga, sasa kama ndivyo kwanini pia hata makongoro haridhiki? Sidhani kama mahangaameshinda kata nyingine zote kama unavyodai matokeo yangekuwa bado ni unkown
 
Nasikia kuna maeneo wamekata umeme ili waweze chakachaua matokeo has uko Tabata
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom