Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

Status
Not open for further replies.
uchaguzi huu ukiisha kama mahakama zetu zitafanya kazi bila ya kuingiliwa, tutaona makubwa kabla mwaka haujesha.
 
watu wameanza kushangilia maeneo ya tbt bima wa upande wa ccm, but aint confirmed
 
kushangilia sio ushindi mzee tuliwaona watu wakishangilia majimbo mengine na matokeo yake yakawa mengine
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935
 
Naona wanachezea watanzania, its too sad watu wa CCM wanalazimisha matokeo wanayotaka.
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935
Nyie watu wa CHADEMA ni watu wa ajabu sana. kwani Lipumba kupata kura nyingi kuliko Slaa ni tatizo? au kwa kuwa kwenyehilo jimbo kuna waikristu wengi? Inajulikana uchaguzi wa mwaka huu ni Waislamu vs Waikristu inasikitisha sana ila matokeo ya urais yanaonesha hali hiyo.
 
Nyie watu wa CADEMA ni watu wa ajabu sana. kwani Lipumba kupata kura nyingi kuliko Slaa ni tatizo? au kwa kuwa kwenyehilo jimbo kuna waikristu wengi? Inajulikana uchaguzi wa mwaka huu ni Waislamu vs Waikristu inasikitisha sana ila matokeo ya urais yanaonesha hali hiyo.

Ni vema ukaacha kuleta udini katika kila hoja.
 
MAHANGA pamoja na tuhuma zile akishinda basi tuna laana kamili kuanzia ikulu mpaka wabunge.
KIKWETE yupo bize kuiba kura za urais, ilihali wabunge wake wanahaha kuokoa shingo zao
 
Nyie watu wa CHADEMA ni watu wa ajabu sana. kwani Lipumba kupata kura nyingi kuliko Slaa ni tatizo? au kwa kuwa kwenyehilo jimbo kuna waikristu wengi? Inajulikana uchaguzi wa mwaka huu ni Waislamu vs Waikristu inasikitisha sana ila matokeo ya urais yanaonesha hali hiyo.

Kwani aliyeanzisha thread hii ameongelea udini?
 
Nimesikia kwenye redio asubuhi hiii Mahanga kapita

Alafu nimeona FFU wakiwa katika Landrover Defender mbili wanaelekea tabata

I guess wanaenda kulinda usalama wakiwa wanatangaza ushindi wa Mahanga
 
Radio gani wametangaza wakati hajatangazwa na tume? hizo ni tetesi tusubiri na kwa taharifa yako wanatangazia Anatouglo ndio wapo wanasubiria kwa sasa wote Makongoro na Mpendazoe
 
Nimesikia redio Tanzania kama dakika 20 zilizopita, jamaa ana kura kama 43,000 CONFIRMED acheni ubishi
hapa ni kupanga namna ya kukata RUFAA
 
<p>
Radio gani wametangaza wakati hajatangazwa na tume? hizo ni tetesi tusubiri na kwa taharifa yako wanatangazia Anatouglo ndio wapo wanasubiria kwa sasa wote Makongoro na Mpendazoe
</p>
<p>&nbsp;</p>

wametanga saa nane ucku kama mkubwa alivyo agiza
huku matokeo mengine katika vituo 36 kiwalani ,vingunguti 8 na buguruni vituo kadhaa havikuwa vimefika na hata diwani wa kata zote hizo juu hajulikani.wametunyanganya kibabe jamani.
 
Chanzo ni taarifa ya habari ya tbc1 ya saa 1 asubuhi ambapo wameonyesha mkurugenzi akitoa matokeo hayo usiku wa manane kuamkia leo.
 
Kwani aliyeanzisha thread hii ameongelea udini?

Huyu muongelea udini ni "kaburu". Hawatakiwi hawa. Yeye hajajua kwanini watu wanahoji pia hajajua kama watu wanaona UCHAKACHUAJI ulivyoleta data.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom