kwa kadiri wanavyochelewa kutoa matokeo ya ushindi wa dhahiri wa mpiganaji Tundu Lisu, mambo matatu muhimu wanatuandalia.
1. Wanazidi kujiongezea uchungu, msongo wa mawazo na Fedheha ya kushindwa hata baada ya uchakachuaji
2. Wanamuandalia hoja za mapema, mpiganaji wetu, aanze na kushughulikia kesho za uchaguzi mara tu atakapoingia Bungeni. Ikumbukwe kuwa, Lisu si mbunge wa kuanzishiwa hoja, mi mwanaharakati mahiri wa kuzalisha hoja zenye mashiko, na kuzitetea hata kama atabaki peke yake.
3. Kwa sisi washangiliaji" Tunaandalia furaha kuu zaidi, sababu kuu zaidi ba HAJA kuuuubwa ya kushangilia kwa nguvu, ushindi wa umma.