Utata upi, ule wa Mahanga kukamatwa na mabox 12 ya kura ndani ya private car? Hivi kweli hili si kosa la jinai, mbona hayuko Segerea hadi sasa? Ninachojua haruhusiwi mtu kuwa na yale mabox yawe tupu au na kitu kama si mhusika (tume, masimamizi. wasambazaji,etc) na mgombea tena ni ndoto kabisa. Ingekuwa ni mgombea wa Chadema amepatikana na masanduku hayo ingekuwaje? Sheria itende haki!!
Nasikia Mahanga anagoma kusaini matokeo anadai yahesabiwe yale mabox 12 kwanza!! Hivi huyu si kati ya wale list of shame in mafisadis wa elimu? Nimeanza kumtilia mashaka!!