Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

Status
Not open for further replies.

CLEMENCY

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Posts
211
Reaction score
118
Inasemekana Makongo Mahanga amebwagwa na mpiganaji Mpendazoe.

===========
UPDATES:

Kuhesabu kura kunaendelea (saa 6:28 usiku sasa) kama inavyoonekana kwenye picha chini

segerea_kinachoendelea.jpg
 
Tulete habari zilizotangazwa na tume sio porojo, tutaidhalilisha hii forum ionekane ya wahuni. Let us be professional please
 
Ninawasiliana na walioko kwa msimamizi wa kura ila you can safely quote me on this. Washabandika kabisa matokeo. Kuna sherehe zinaendelea
 
aisee hadi utuhakikishie walahi,hili nalo neno
kibaha pale tutafata sheria tu
 
siokweli mana kura za uraisi zingine hazionekani kwa segerea.. ila alikua anaongoza kwa baazi zilizoesabiwa.
 
makongoro aliiba masanduku kibao, ila Fredy akshinda tangu jana.
 
So far mambo yakienda sawa DSM chadema itakuwa na wabunge 3
 
CONFIRMED: Makongo Mahanga amebwagwa na mpiganaji Mpendazoe. Rasmi,Mpendazoe ni mbunge mteule wa jimbo jipya la Segerea


Confirmed kwa source ipi mkuu? Authenticate labla ya bandiko!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom