CDM sikio la kufa hao, leo wapo Tabora hutaoni picha hadi zipitie kwa mhariri wao azitengeneze ndio warushe, hawa jamaa watakata tamaa hata kabla ya kumaliza kampeni, hapa wanasubiri mkutano wa Mbeya ndio watume picha chache na vi clip vya dk 2.
Kinachpfanyika sasa ni uzinduzi wa kampeni za Kanda.
Mgombea uraisi atapita na uongozi wa kitaifa na mgombea mwenza katika makao makuu ya Kanda zote 10. Baada ya hapo wanachanja mbuga jimbo kwa jimbo,wilaya kwa wilaya na Mkoa kwa Mkoa huku wakiwa wametawanyika..Mgombea mwenza kwake na Mgombea uraisi kwake!