Uchaguzi 2020 Kinachoendelea Kampeni za CHADEMA mwaka huu 2020

Uchaguzi 2020 Kinachoendelea Kampeni za CHADEMA mwaka huu 2020

Hao waandishi wa habari wanaoagizwa cha kuongea ? Mapimbi kina Balile na wanaccm waliojigeuza waandishi wa habari ?
IMG_20200902_170346.jpg
Screenshot_20200902-170338.png
IMG_20200902_170350.jpg
 
CDM sikio la kufa hao, leo wapo Tabora hutaoni picha hadi zipitie kwa mhariri wao azitengeneze ndio warushe, hawa jamaa watakata tamaa hata kabla ya kumaliza kampeni, hapa wanasubiri mkutano wa Mbeya ndio watume picha chache na vi clip vya dk 2.
Chadem wapo live YouTube channel yao.
 
Kinachpfanyika sasa ni uzinduzi wa kampeni za Kanda.
Mgombea uraisi atapita na uongozi wa kitaifa na mgombea mwenza katika makao makuu ya Kanda zote 10. Baada ya hapo wanachanja mbuga jimbo kwa jimbo,wilaya kwa wilaya na Mkoa kwa Mkoa huku wakiwa wametawanyika..Mgombea mwenza kwake na Mgombea uraisi kwake!
 
Back
Top Bottom