Kanyunyu
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 335
- 495
UHURU KENYATTA SIYO MWANADEMOKRASIA NI MNAFIKI, MAFIA NA MZUGAJI, HANA JINSI KATIBA ALIYOIPIGANIA ODINGA NDIO INAMFUNGA.
1. Wakenya sio watanzania kwamba unaongoza maiti. Kenya dakika chache tu zinatosha wananchi kuchafua mji mzima kwa maandamano ya kudai haki yao jambo ambalo lingepelekea mauaji na kwa kuwa madai yao ni msingi basi Uhuru angerudi tena ICC. Dunia inatazama.
2.Wakenya wanajua haki zao na wako tayari kuzidai kwa gharama hata ya damu zao ndio maana unaona uchaguzi wao walikuja waangalizi wengi wa kimataifa kwamba kuhakikisha haki inapatikana.
Nchi za wafadhili zilimsihi Raila atulie afuate njia za amani kudai haki yake sio kwamba wakenya waliogopa kudai haki yao iliporwa na huyo Uhuru. Rejea maandamo na mauaji ya watu mara tu baada Uhuru kufanya uhuni wake.
Kwa msingi huo Uhuru hawezi kufanya ubabe wowote mbele ya katiba na nguvu ya umma.
3. Ukifuatillia matamshi ya huyo Uhuru Kenyattta baada ya maamuzi ya mahakama amewalaumu majaji kwamba wameliendesha zoezi kwa hila na kusema hakubaliani na maamuzi yao, huu ni uzwazwa wa kiwango cha PhD kwa kiongozi mkuu wa nchi kuutuhumu mhimili mkuu wa mahakama kisa tu maamuzi hayajalalia upande wake.
4. Wakati wanaume wanafungwa gerezani miaka saba wakidai mabadiliko na katiba nzuri ya kisasa nchini Kenya huyo Uhuru wenu alikuwa anasindikizwa na escort ya askari wa NIS kwenda kua bata kwenye club za usiku, hakuwa lolote wala chochote kwenye madai ya katiba mpya ya Kenya ambayo ilipitishwa 2010. Lazima aifuate atake asitake, alikuwa amelala sasa atajua chungu na tamu waliyoipigania akina Raila tokea kitambo.
Sent using Jamii Forums mobile app