Kinachoendelea Kenya ni Jasho lá Raila Odinga na sio Uhuru Kenyatta.

Kanyunyu

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
335
Reaction score
495
UHURU KENYATTA SIYO MWANADEMOKRASIA NI MNAFIKI, MAFIA NA MZUGAJI, HANA JINSI KATIBA ALIYOIPIGANIA ODINGA NDIO INAMFUNGA.

1. Wakenya sio watanzania kwamba unaongoza maiti. Kenya dakika chache tu zinatosha wananchi kuchafua mji mzima kwa maandamano ya kudai haki yao jambo ambalo lingepelekea mauaji na kwa kuwa madai yao ni msingi basi Uhuru angerudi tena ICC. Dunia inatazama.

2.Wakenya wanajua haki zao na wako tayari kuzidai kwa gharama hata ya damu zao ndio maana unaona uchaguzi wao walikuja waangalizi wengi wa kimataifa kwamba kuhakikisha haki inapatikana.
Nchi za wafadhili zilimsihi Raila atulie afuate njia za amani kudai haki yake sio kwamba wakenya waliogopa kudai haki yao iliporwa na huyo Uhuru. Rejea maandamo na mauaji ya watu mara tu baada Uhuru kufanya uhuni wake.
Kwa msingi huo Uhuru hawezi kufanya ubabe wowote mbele ya katiba na nguvu ya umma.

3. Ukifuatillia matamshi ya huyo Uhuru Kenyattta baada ya maamuzi ya mahakama amewalaumu majaji kwamba wameliendesha zoezi kwa hila na kusema hakubaliani na maamuzi yao, huu ni uzwazwa wa kiwango cha PhD kwa kiongozi mkuu wa nchi kuutuhumu mhimili mkuu wa mahakama kisa tu maamuzi hayajalalia upande wake.

4. Wakati wanaume wanafungwa gerezani miaka saba wakidai mabadiliko na katiba nzuri ya kisasa nchini Kenya huyo Uhuru wenu alikuwa anasindikizwa na escort ya askari wa NIS kwenda kua bata kwenye club za usiku, hakuwa lolote wala chochote kwenye madai ya katiba mpya ya Kenya ambayo ilipitishwa 2010. Lazima aifuate atake asitake, alikuwa amelala sasa atajua chungu na tamu waliyoipigania akina Raila tokea kitambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya walisoma na kuelewa kitabu kilichoitwa "grain of wheat"sisi tulikariri
 
Nitupie kidogo maoni yangu:

Raila Odinga Vs. Uhuru Kenyata

Mbali na mitazamo ya ki historia inyotaja historia za kisasa za wawili hawa. Mimi huwa navutiwa na mrengo wao kwenye aina ya Uchumi ambao kwa matendo na maneno yao wanaonekana kushabikia. Kwa tafsiri yangu, Odinga anashabikia siasa za mrengo wenye mchanganyiko mkubwa wa ujamaa na Uhuru anashabikia na labda anaishi maisha ya mrengo wa siasa za kibepari.

Katika mbwembwe zote za uchaguzi, mimi nilijikita kusoma ukubwa wa elements hizo kwa watajwa. Kwanini?.

1. Naamini, siasa za kibepari ndiyo ukombozi wa kweli. Kwa fikra zangu siasa hizi zinashahabiana na survival for the fittest. Yeyote anaye kwenda kinyume na hili, aweza kufanikiwa kushawishi utashi wake wa kufanikisha maendeleo kwa furaha ya wengi ila maranyingi na labda mara zote hizo huwa ni myth. Mchakato wa Maendeleo ni ukatili wa asili, huwezi kuwa harmonize na kama ni harmonization hutokea naturally siyo kuwa planted.

2. Siasa zenye mrego wa kijamaa zinakinzana na dhana ya survival for the fittest. Zinajaribu ku harmonise nature kitu ambacho ukweli umedhihirisha tofauti.

To my view, Uhuru is the right person for Kenya in this era.

Wewe jamaa ni genius.Na uhuru atashinda tena kwa kishindo!
 
UHURU KENYATTA SIYO MWANADEMOKRASIA NI MNAFIKI, MAFIA NA MZUGAJI, HANA JINSI KATIBA ALIYOIPIGANIA ODINGA NDIO INAMFUNGA.

1. Wakenya sio watanzania kwamba unaongoza maiti. Kenya dakika chache tu zinatosha wananchi kuchafua mji mzima kwa maandamano ya kudai haki yao jambo ambalo lingepelekea mauaji na kwa kuwa madai yao ni msingi basi Uhuru angerudi tena ICC. Dunia inatazama.

2.Wakenya wanajua haki zao na wako tayari kuzidai kwa gharama hata ya damu zao ndio maana unaona uchaguzi wao walikuja waangalizi wengi wa kimataifa kwamba kuhakikisha haki inapatikana.
Nchi za wafadhili zilimsihi Raila atulie afuate njia za amani kudai haki yake sio kwamba wakenya waliogopa kudai haki yao iliporwa na huyo Uhuru. Rejea maandamo na mauaji ya watu mara tu baada Uhuru kufanya uhuni wake.
Kwa msingi huo Uhuru hawezi kufanya ubabe wowote mbele ya katiba na nguvu ya umma.

3. Ukifuatillia matamshi ya huyo Uhuru Kenyattta baada ya maamuzi ya mahakama amewalaumu majaji kwamba wameliendesha zoezi kwa hila na kusema hakubaliani na maamuzi yao, huu ni uzwazwa wa kiwango cha PhD kwa kiongozi mkuu wa nchi kuutuhumu mhimili mkuu wa mahakama kisa tu maamuzi hayajalalia upande wake.

4. Wakati wanaume wanafungwa gerezani miaka saba wakidai mabadiliko na katiba nzuri ya kisasa nchini Kenya huyo Uhuru wenu alikuwa anasindikizwa na escort ya askari wa NIS kwenda kua bata kwenye club za usiku, hakuwa lolote wala chochote kwenye madai ya katiba mpya ya Kenya ambayo ilipitishwa 2010. Lazima aifuate atake asitake, alikuwa amelala sasa atajua chungu na tamu waliyoipigania akina Raila tokea kitambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani mchafuko ingetokea Raila nae asingkutwa na hatia maana alivyoambiwa awatuulize wafuasi wake baada ya uchaguzi alisema yeye hana ushawishi wa kuwatuliza au Uhuru ndio unamuona hapo afaa apelekwe Hague...Raila baada ya kuona hakuna nusu mkate ndio maana amerudi mahakamani...wapo hoi kifedha kamoeni hizo sio za kitoto...Uhuru ni binadamu pia ikikerwa aache azungumze ni haki yake....
 
Back
Top Bottom