Kinachoendelea kwenye chaguzi ndogo za CCM ni dalili kuwa 2025 wasipoiba kura hawatoboi. Kiongozi wa sasa akigombea anaweza asishinde

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Iwepo tume huru kabisa.

Wapinzani walinde kura zao na kuhesabu kwa makini.

Inaonekana kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM.

Uchaguzi unafanyika lakini wanaCCM ngazi za chini hawaitaki Ccm iliyopo madarakani.
 
Hicho chama kimebobea kwenye unafiki, juzi kumefanyika uchaguzi wa kuchagua makamu mwenyekiti, na Kinana amepata kura 100% na hamna chochote sukuma gang mmefanya. Huko kwenye hizo chaguzi za chini hamna lolote mtafanya zaidi ya kuburuzwa. Hiyo 2025 hakuna wananchi wanaojitambua watajitokeza kupiga kura kwa mazingira ya chaguzi za sasa. Machafuko tu ndio suluhisho la hicho chama chenu kichovu.
 
Iwepo tume huru kabisa.

Wapinzani walinde kura zao na kuhesabu kwa makini.

Inaonekana kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM.

Uchaguzi unafanyika lakini wanaCCM ngazi za chini hawaitaki Ccm iliyopo madarakani.
Inaonekana kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM.

Uchaguzi unafanyika lakini wanaCCM ngazi za chini hawaitaki Ccm iliyopo madarakani[emoji23]
 
Back
Top Bottom