Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
watu wameichoka ccmIwepo tume huru kabisa.
Wapinzani walinde kura zao na kuhesabu kwa makini.
Inaonekana kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM.
Uchaguzi unafanyika lakini wanaCCM ngazi za chini hawaitaki Ccm iliyopo madarakani.
Mwenyekiti ni Jaji MihayoMkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ni Mahera na Mwenyekiti wa Tume ni Mitungi watashinda tu.
Ukuta ni ule ule, wametoa rangi ya kijani na kuweka manjano.Mwenyekiti ni Jaji Mihayo
Iwepo tume huru kabisa.
Wapinzani walinde kura zao na kuhesabu kwa makini.
Inaonekana kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM.
Uchaguzi unafanyika lakini wanaCCM ngazi za chini hawaitaki Ccm iliyopo madarakani.
Kinana hakuchaguliwa alipitishwa.
Who is Sukuma gang?
Inaonekana kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM.Iwepo tume huru kabisa.
Wapinzani walinde kura zao na kuhesabu kwa makini.
Inaonekana kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM.
Uchaguzi unafanyika lakini wanaCCM ngazi za chini hawaitaki Ccm iliyopo madarakani.
Not this time dadaMkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ni Mahera na Mwenyekiti wa Tume ni Mitungi watashinda tu.
Ungekuwa na akili timamu ungetambua kuwa alipitishwa kwa kura za mkakati.
Hii mikakati kwanini haitumiki kumaliza umasikini na watu wote tupate maji salama ya bomba.Ungekuwa na akili timamu ungetambua kuwa alipitishwa kwa kura za mkakati.