Uchaguzi 2020 Kinachoendelea kwenye kampeni za CHADEMA ni kueneza chuki dhidi ya Magufuli na sio kunadi Sera na Ilani ya chama chao

Una ile Video ya Mb wa Nzega alivyokuwa analia na hata kutishia kuuacha Ubunge wa Nzega kwa kubakwa na kuwataja watu maalum wa Magufuli huku Ndugai akicheeeka hapohapo Zitto Kabwe akaomba ufafanuzi kidole kinapointi sehemu moja tu
Tobaaaah Mb wa Nzega si mwanaume, alibakwa vipi? Au sijaelewa?
ila sakata hilo nalikumbuka.
 
Mkipata Mkipata kura milioni 2 mkamsujudie mungu.
 
Ccm kinamfuata ndugu yake KANU hahahhhaa!!
 
It is your own view and weakness. You want to hear what you wish. Sorry for that. Wewe ndiye mwenye chuki.
 
Haki na uhuru ni kwa wachache, Sugu alifungwa bila kosa, kifungo kilichopelekea mauti ya mama yake kipenzi.

Mahakama Kuu ikaja kumuachia na kusema wazi kabisa kwamba Sugu hakustahili kufungwa........................
Yule Hakimu mteite aliyetumika kumfunga alishastaafu,,,,,,,,sijaona zawadi aliyopewa na huyo Mtetezi wa Wanyonge,,,
Haki jhuinua taifa
 
Chama ambacho kipo hai kitachangisha nauli na pesa za kula kwenye mikutano.
Umetumwa?
Kwani na wee umetumwa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah hadi nimecheka kumbe wee n hamnazo,
Nna mashaka wee n ******** mwenyewe.
 
We unajuaje hakuwa na kosa? Jamhuri nayo ingekata rufaa? Mambo ya kesi yaache wewe. Mwambie Lissu atuambie na chama chake watafanya mazuri zaidi ya haya wanayofanya CCM? Au wataanza kugwana pesa za umma kama mlivyogawana za ruzuku?
Alishinda Rufaa yake ndugu,,,ile hukumu ya Mteite haikuwa hukumu ilikuwa utumbo mtupu,,,yaani CCM wanshindwa kutumia wenye akili kujustify,, wanatumi vilaza hadi aibu
 
Mnawachagulia cha kusema?
 
Ulitaka ashambuliwe kwa risasi kwa nia ya kumuua then anyamaze? Nadhani Magufuli ajibu hoja na aueleze umma wa watz ni nani aliyemshambulia kwa risasi lisu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…