cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Patamu hapo, tena achague apendavyo ili lijadiliwe.Sawa turudi kwenu werevu na wenye akili.
Tuanze na hoja gani ndege, barabara, flyover au? Chagua wewe tujadili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Patamu hapo, tena achague apendavyo ili lijadiliwe.Sawa turudi kwenu werevu na wenye akili.
Tuanze na hoja gani ndege, barabara, flyover au? Chagua wewe tujadili
Tobaaaah Mb wa Nzega si mwanaume, alibakwa vipi? Au sijaelewa?Una ile Video ya Mb wa Nzega alivyokuwa analia na hata kutishia kuuacha Ubunge wa Nzega kwa kubakwa na kuwataja watu maalum wa Magufuli huku Ndugai akicheeeka hapohapo Zitto Kabwe akaomba ufafanuzi kidole kinapointi sehemu moja tu
Yaan umempatia San huyu shushushu wa Lumumba.Vipi kama lissu na yeye amemtania Magu?wewe umethibitishaje kuwa ana jazba?
Mkipata kura milioni 2 mkamsujudie mungu.Si amejenga fly over, ameleta ajira million 6, ameboresha maslahi ya watumishi, ameleta umeme kila kona, amejenga hospital za kutosha sasa ni Mtanzania gani ataweza kueneza chuki dhidi ya mtu huyu ambaye watumishi wa umma, wakulima na wafanyabiashara wanampenda sana?
Mwanaume anaweza kubakwa kwa njia ya liwatiTobaaaah Mb wa Nzega si mwanaume, alibakwa vipi? Au sijaelewa?
ila sakata hilo nalikumbuka.
It is your own view and weakness. You want to hear what you wish. Sorry for that. Wewe ndiye mwenye chuki.Wananchi wengi walitegemea kuwa kampeni zikianza tushudie na kusikia kuwa watatutalia vipi kero zetu.
Mfano tulitarajia kusikia kuwa pamoja na haya mambo makubwa yanayotekelezwa na Ccm na serikali yake wao wangeweza kufanya mazuri zaidi ya hiki kinachofanywa.Mfano tulitegea tusikie kuwa sekta ya afya, elimu na miundo mbinu imeimarishwa na Ccm. Je wao wapinzani watafanya nini zaidi kuperfom zaidi ya kinachofanywa na Ccm sasa hivi?
Hii inadhihirisha wazi kuwa hawa wapinzani hawapo tayari kuchukua dola kama watawala na hawana uwezo wa kutawala bali wamezunguka kueneza chuki na vinyongo walivyonavyo mioyoni mwao. Na hili linatupa mashaka huenda wakiwa na nafasi ya kutawala hawatatekeleza kama Ccm inavyofanya na hata kama wakipata nafasi watatuibia mali zetu za umma na kunedeleza ufisadi.
Nimemsikiliza mgombea wa Chadema akiwa Mwanza anaongea kwa jazba na chuki akiwaaminisha wananchi kuwa rais Magufuli ndio alitoa amri ya yeye kupigwa risasi. Na hii ni kwa sababu alikuwa akipinga jitahada za JPM kulinda rasilimali za watanzania. Na ameyasema haya baad ya kumsikia rais na ambaye ni mkuu wa nchi kuwa anampenda na asipoteze muda kufanya kampeni,bali atulie na atapewa kikazi kidogo cha kufanya. Mimi binafsi najua JPM ni mtu wa utani na huenda alikuwa anamtania tu huyu mgombea wa Chadema.
Lakini mgombea wa Chadema wa urais ameongea maneno makali sana akionyesha dhahiri kuwa ana chuki na JPM na amethibitisha kwa wananchi kuwa JPM alitoa amri ya yeye kupigwa risasi. Hii sio picha nzuri na wala sio sula linalofaa. Mgombea wa Chadema kama anauhakika kuwa JPM alitoa amri ili ashambuliwe anatakiwa afuate taratibu za kisheria na kwa sababu yeye ni mwanasheria anafahamu fika Mahakama kuu inayo mamlaka ya kulazimisha vyombo husika vikalishughulikia suala lake.Lakini pale wananchi wanapojazana ili wasikie utawasaidia vipi kutatua kero zao alafu unabaki kueneza chuki hii haisadii chama chake wala yeye mwenyewe.
Badala yake watu watachoka hizi hadithi zake za kupigwa risasi na October ikifika wataambulia mbunge mmoja tu.
Haki na uhuru ni kwa wachache, Sugu alifungwa bila kosa, kifungo kilichopelekea mauti ya mama yake kipenzi.
Kwani na wee umetumwa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah hadi nimecheka kumbe wee n hamnazo,Chama ambacho kipo hai kitachangisha nauli na pesa za kula kwenye mikutano.
Umetumwa?
Alishinda Rufaa yake ndugu,,,ile hukumu ya Mteite haikuwa hukumu ilikuwa utumbo mtupu,,,yaani CCM wanshindwa kutumia wenye akili kujustify,, wanatumi vilaza hadi aibuWe unajuaje hakuwa na kosa? Jamhuri nayo ingekata rufaa? Mambo ya kesi yaache wewe. Mwambie Lissu atuambie na chama chake watafanya mazuri zaidi ya haya wanayofanya CCM? Au wataanza kugwana pesa za umma kama mlivyogawana za ruzuku?
Mnawachagulia cha kusema?Me nafikiri washauri wake hawako vizuri au hautaki urais?? Kapewa hiyo nafasi ili amrushie maneno mwenzie???
Kwa stail hii no kazi sana nafikiri Chadema ijikite zaidi kwenye kueneza Sera na sio kushambulia na mikoa hii ndo muhimu sanaaaa jamaa likienda huko linamwaga sumu wanasahau yote ya nyuma
Duuuuh pole zake sana.Mwanaume anaweza kubakwa kwa njia ya liwati
Ulitaka ashambuliwe kwa risasi kwa nia ya kumuua then anyamaze? Nadhani Magufuli ajibu hoja na aueleze umma wa watz ni nani aliyemshambulia kwa risasi lisu?Me nafikiri washauri wake hawako vizuri au hautaki urais?? Kapewa hiyo nafasi ili amrushie maneno mwenzie???
Kwa stail hii no kazi sana nafikiri Chadema ijikite zaidi kwenye kueneza Sera na sio kushambulia na mikoa hii ndo muhimu sanaaaa jamaa likienda huko linamwaga sumu wanasahau yote ya nyuma