Kinachoendelea mimi na rafiki wa mke wangu baada ya mke kumueleza madhaifu ya chumbani ya kwetu

Duuh haya maneno mazito sana .
Kama si muhenga sijui kama unaweza kuyaweka kichwani
Binadamu kuna vitu tunafeli sana mkuu basi tu.

Imagine jamaa anaanza kumdadisi mkewe kwa info hasi za kutoka kwa rafiki yake.

Hata wewe ndo ungekua rafiki wa huyo mkewe, ili kupata maokoto mtelezo toka kwa jamaa ungeenda kusema mkewe ni mwema?? Ni muaminifu ?? Ili usipate maokoto au?

Hapo lazima umpe taarifa hasi ili jamaa aamini taarifa zako, mpe vithibitisho kabisa ili mpunga ujae.

Nachelea kumwita huyu jamaa ni bwege(sio mbunge) bali kilaza.
 
Hivi Tukisema KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO tunakaosea au basi
VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE
 
Stori haijael
stori imetuacha dillema
 
Nyakati zimebadilika sana...

Wakati enzi hizo ndoa ndiyo ilikuwa kitu cha kuheshiwa sana, leo hii ndoa si lolote wala si chochote.

Leo hii mwanaume yuko tayari kutafuta makosa ya mwanamke ili tu aharibu ndoa yake.

Vijana wa sasa hawajui namna ya kutuliza ndoa zao,

Wale wanaojiandaa kuingia kwenye ndoa, wasitegeme kukaa na kupoteza muda kumchunguza mwanawake.
THEIR SIMPLE LIKE QUANTUM PHYSICS πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mchezo wa hatari na kipumbavu sana.
 
Huwezi mkomoa mwanamke ila unaweza muacha.
 
Mwanaume asiyecheat ujuwe uchumi ndio mgogoro, kama financial stability iko vizuri huwezi kuacha vitoto kama vimetoka Venezuela uvile Kwa macho tu.
 
Unamchunguza ilhali na ww una makitu kibao nyuma ya pazia
 
Piga nyama chini au umeridhia kukaa na koboko ndani, kesho ulete uzi mtoto hafanani na mimi wala mamaake

Jibu in advance atakua wa Samson
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…