Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Tumeshazoea maana siku hizi vituko ni vingu sana tunashuhudiaInabidi tuombe samahani Kwa niaba, huku ni kuudhalilisha uanaume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeshazoea maana siku hizi vituko ni vingu sana tunashuhudiaInabidi tuombe samahani Kwa niaba, huku ni kuudhalilisha uanaume.
Binadamu kuna vitu tunafeli sana mkuu basi tu.Duuh haya maneno mazito sana .
Kama si muhenga sijui kama unaweza kuyaweka kichwani
Inabidi aplay safe Benzathine penicillin so poa 🙌🙌🙌🙌🙌😂😂Baba Alpha usisahau azuma....
Azinywe kabisa au atembee nazo mfukoni.....?? Just in case.......???Baba Alpha usisahau azuma....
stori imetuacha dillemaBaada ya kuwa mbali kimajukumu... Nilipata simu pendwa ya Mama Alpha.
Mama Apha; Mume wangu siku ya Jumamosi nitaenda Dar kumfanyia Shoping ya hapa ndani.
Mimi(mume); Aah sawa usijali na je..? Utafikia wapi pa kulala baada ya mizunguko yako kumalizaka?
Mama Apha; Nitaenda kwa Shangazi yangu alieko Tabata nikamsalimie nitalala huko.
Mume(mimi); Okay basi hakuna shida safari njema mke wangu.
Ghafla Moyo wangu ukastuka na kuanza kuhisi mbona kama hii safari ni kama Ghafla na pia haiko katika mipango ya muda?
Likanijia wazo la kumtafuta rafiki yake wa karibu sanaa anaitwa Suzi Albert, kupitia Facebook. Kwa bahati iliyoje nlimpata online nakuanza kumsalimia na kuchart nae. Na rafiki yake huyu anaishi Kibaha.
Mimi; Hello shem mambo vipi?
Suzie Albert; Poa shem za miaka na ma siku mingi.
Mimi; Poa sana namshukuru Mungu naendelea vyema.
Je, Unawasiliana na rafiki yako?
Suzie Albert; Ndio nawasiliana nae na kesho amenambia atakuja mjini kwa ajili ya Shopping ya nyumbani kwake, akimaliza atafikia na kulala kwangu.
Mimi;Okay basi akifika jaribu kumdodosa story zake malengo yake na pia mipango yake na hata kuhusu mahusiano ya nje alionayo.
Suzie Albert; Sawa shem hakuna shida ila hii kazi naomba uniangalizie chochote kidogo maana si mchezo, ili nipate hata stimulation ya kujituma na kukupa kila hatua. Mimi nikatuma muamala wa 70k.
Suzan Albert; Asante shem usikae mbali na simu yako ntakujuza kila hatua. Muda ulipowadia alifika kwake mida ya saa 2 usiku. Na mimi nlimpigia simu Mama Alpha kumuuliza vipi ushafika kwa shangazi yako huko Tabata alisema ndio nishafika nimeoga na sasa niko kitandani naingia kulala. Roho iliniuma sanaaa tena mnoo.
Sikuwahi kukasirika hivi maisha yangu yote ya hii ndoa.
1. Kweli aliweza kuanika kila kitu juu ya haya mahusiano na nilithibitisha kwa maana aliyomueleza rafiki yake 80% nia ya kweli. 20% iliobakia ni chumvi nyingi na uwongo.
2. Aliweza kumwambia anakumbuka sana mahusiano yake ya nyuma maana hawakugombana na huyo mwanaume mpaka wanaachana ispokuwa ni Dini ndio iliowatenganisha na kuja kuolewa na mimi.
Mwisho waliwasiliana na Ex wake, jina Samson na alifika alipo kwa rafiki yake na kuongea nae japo hapo Suzana Albert aligoma kabisa kunambia nini kilifuata.
3. Ana mpango wa kusepa zake.
Baada ya haya yote. Kweli rafiki yake akawa ametokea kunizoea sanaa kwa kuwa ananifahamu kila kitu na kuanza kumponda rafiki yake kwangu.
Hivi sasa huyo shoga yake ameahidi kunipa penzi na kunifariji kwa hayo ambayo Mama Alpha kanifanyia. So nikirudi nyumbani nina hakika ya kupewa Penzi na shoga ake na kuliwazwa. Na mimi nimelipitisha na ntalifaidi penzi lote na sitojali chochote nukta.
Nyakati zimebadilika sana...Binadamu kuna vitu tunafeli sana mkuu basi tu.
Imagine jamaa anaanza kumdadisi mkewe kwa info hasi za kutoka kwa rafiki yake.
Hata wewe ndo ungekua rafiki wa huyo mkewe, ili kupata maokoto mtelezo toka kwa jamaa ungeenda kusema mkewe ni mwema?? Ni muaminifu ?? Ili usipate maokoto au?
Hapo lazima umpe taarifa hasi ili jamaa aamini taarifa zako, mpe vithibitisho kabisa ili mpunga ujae.
Nachelea kumwita huyu jamaa ni bwege(sio mbunge) bali kilaza.
Mchezo wa hatari na kipumbavu sana.Baada ya kuwa mbali kimajukumu... Nilipata simu pendwa ya Mama Alpha.
Mama Apha; Mume wangu siku ya Jumamosi nitaenda Dar kumfanyia Shoping ya hapa ndani.
Mimi(mume); Aah sawa usijali na je..? Utafikia wapi pa kulala baada ya mizunguko yako kumalizaka?
Mama Apha; Nitaenda kwa Shangazi yangu alieko Tabata nikamsalimie nitalala huko.
Mume(mimi); Okay basi hakuna shida safari njema mke wangu.
Ghafla Moyo wangu ukastuka na kuanza kuhisi mbona kama hii safari ni kama Ghafla na pia haiko katika mipango ya muda?
Likanijia wazo la kumtafuta rafiki yake wa karibu sanaa anaitwa Suzi Albert, kupitia Facebook. Kwa bahati iliyoje nlimpata online nakuanza kumsalimia na kuchart nae. Na rafiki yake huyu anaishi Kibaha.
Mimi; Hello shem mambo vipi?
Suzie Albert; Poa shem za miaka na ma siku mingi.
Mimi; Poa sana namshukuru Mungu naendelea vyema.
Je, Unawasiliana na rafiki yako?
Suzie Albert; Ndio nawasiliana nae na kesho amenambia atakuja mjini kwa ajili ya Shopping ya nyumbani kwake, akimaliza atafikia na kulala kwangu.
Mimi;Okay basi akifika jaribu kumdodosa story zake malengo yake na pia mipango yake na hata kuhusu mahusiano ya nje alionayo.
Suzie Albert; Sawa shem hakuna shida ila hii kazi naomba uniangalizie chochote kidogo maana si mchezo, ili nipate hata stimulation ya kujituma na kukupa kila hatua. Mimi nikatuma muamala wa 70k.
Suzan Albert; Asante shem usikae mbali na simu yako ntakujuza kila hatua. Muda ulipowadia alifika kwake mida ya saa 2 usiku. Na mimi nlimpigia simu Mama Alpha kumuuliza vipi ushafika kwa shangazi yako huko Tabata alisema ndio nishafika nimeoga na sasa niko kitandani naingia kulala. Roho iliniuma sanaaa tena mnoo.
Sikuwahi kukasirika hivi maisha yangu yote ya hii ndoa.
1. Kweli aliweza kuanika kila kitu juu ya haya mahusiano na nilithibitisha kwa maana aliyomueleza rafiki yake 80% nia ya kweli. 20% iliobakia ni chumvi nyingi na uwongo.
2. Aliweza kumwambia anakumbuka sana mahusiano yake ya nyuma maana hawakugombana na huyo mwanaume mpaka wanaachana ispokuwa ni Dini ndio iliowatenganisha na kuja kuolewa na mimi.
Mwisho waliwasiliana na Ex wake, jina Samson na alifika alipo kwa rafiki yake na kuongea nae japo hapo Suzana Albert aligoma kabisa kunambia nini kilifuata.
3. Ana mpango wa kusepa zake.
Baada ya haya yote. Kweli rafiki yake akawa ametokea kunizoea sanaa kwa kuwa ananifahamu kila kitu na kuanza kumponda rafiki yake kwangu.
Hivi sasa huyo shoga yake ameahidi kunipa penzi na kunifariji kwa hayo ambayo Mama Alpha kanifanyia. So nikirudi nyumbani nina hakika ya kupewa Penzi na shoga ake na kuliwazwa. Na mimi nimelipitisha na ntalifaidi penzi lote na sitojali chochote nukta.
Mwanaume asiyecheat ujuwe uchumi ndio mgogoro, kama financial stability iko vizuri huwezi kuacha vitoto kama vimetoka Venezuela uvile Kwa macho tu.Hivi wewe hucheat?
Em wachukulieni wanawake kama binadami kama ninyi.
Kama wao wanavyokua, wanajua mwanaume anacheat ila as long as hawajamfumania basi wanakausha.
Wewe unafonyoa vitu huko lazima ukute mabaya.
Hata leo ukaamua kumfatilia mama yako, hakyanani utamkana. Ndivyo binadamu tulivyo.
Kama anakuheshimu, anatimiza wajibu wake, kwann uanze kumtafutia sababu( maana huwezi kosa sababu) za kumuacha.
Basi kama anacheat aache hizo double standardsMwanaume asiyecheat ujuwe uchumi ndio mgogoro, kama financial stability iko vizuri huwezi kuacha vitoto kama vimetoka Venezuela uvile Kwa macho tu.
Unamchunguza ilhali na ww una makitu kibao nyuma ya paziaNyakati zimebadilika sana...
Wakati enzi hizo ndoa ndiyo ilikuwa kitu cha kuheshiwa sana, leo hii ndoa si lolote wala si chochote.
Leo hii mwanaume yuko tayari kutafuta makosa ya mwanamke ili tu aharibu ndoa yake.
Vijana wa sasa hawajui namna ya kutuliza ndoa zao,
Wale wanaojiandaa kuingia kwenye ndoa, wasitegeme kukaa na kupoteza muda kumchunguza mwanawake.
THEIR SIMPLE LIKE QUANTUM PHYSICS 😀
😀😀😀😀
Siku mbayaUwaridi jeusi - dizasta
ChaiBaada ya kuwa mbali kimajukumu... Nilipata simu pendwa ya Mama Alpha.
Mama Apha; Mume wangu siku ya Jumamosi nitaenda Dar kumfanyia Shoping ya hapa ndani.
Mimi(mume); Aah sawa usijali na je..? Utafikia wapi pa kulala baada ya mizunguko yako kumalizaka?
Mama Apha; Nitaenda kwa Shangazi yangu alieko Tabata nikamsalimie nitalala huko.
Mume(mimi); Okay basi hakuna shida safari njema mke wangu.
Ghafla Moyo wangu ukastuka na kuanza kuhisi mbona kama hii safari ni kama Ghafla na pia haiko katika mipango ya muda?
Likanijia wazo la kumtafuta rafiki yake wa karibu sanaa anaitwa Suzi Albert, kupitia Facebook. Kwa bahati iliyoje nlimpata online nakuanza kumsalimia na kuchart nae. Na rafiki yake huyu anaishi Kibaha.
Mimi; Hello shem mambo vipi?
Suzie Albert; Poa shem za miaka na ma siku mingi.
Mimi; Poa sana namshukuru Mungu naendelea vyema.
Je, Unawasiliana na rafiki yako?
Suzie Albert; Ndio nawasiliana nae na kesho amenambia atakuja mjini kwa ajili ya Shopping ya nyumbani kwake, akimaliza atafikia na kulala kwangu.
Mimi;Okay basi akifika jaribu kumdodosa story zake malengo yake na pia mipango yake na hata kuhusu mahusiano ya nje alionayo.
Suzie Albert; Sawa shem hakuna shida ila hii kazi naomba uniangalizie chochote kidogo maana si mchezo, ili nipate hata stimulation ya kujituma na kukupa kila hatua. Mimi nikatuma muamala wa 70k.
Suzan Albert; Asante shem usikae mbali na simu yako ntakujuza kila hatua. Muda ulipowadia alifika kwake mida ya saa 2 usiku. Na mimi nlimpigia simu Mama Alpha kumuuliza vipi ushafika kwa shangazi yako huko Tabata alisema ndio nishafika nimeoga na sasa niko kitandani naingia kulala. Roho iliniuma sanaaa tena mnoo.
Sikuwahi kukasirika hivi maisha yangu yote ya hii ndoa.
1. Kweli aliweza kuanika kila kitu juu ya haya mahusiano na nilithibitisha kwa maana aliyomueleza rafiki yake 80% nia ya kweli. 20% iliobakia ni chumvi nyingi na uwongo.
2. Aliweza kumwambia anakumbuka sana mahusiano yake ya nyuma maana hawakugombana na huyo mwanaume mpaka wanaachana ispokuwa ni Dini ndio iliowatenganisha na kuja kuolewa na mimi.
Mwisho waliwasiliana na Ex wake, jina Samson na alifika alipo kwa rafiki yake na kuongea nae japo hapo Suzana Albert aligoma kabisa kunambia nini kilifuata.
3. Ana mpango wa kusepa zake.
Baada ya haya yote. Kweli rafiki yake akawa ametokea kunizoea sanaa kwa kuwa ananifahamu kila kitu na kuanza kumponda rafiki yake kwangu.
Hivi sasa huyo shoga yake ameahidi kunipa penzi na kunifariji kwa hayo ambayo Mama Alpha kanifanyia. So nikirudi nyumbani nina hakika ya kupewa Penzi na shoga ake na kuliwazwa. Na mimi nimelipitisha na ntalifaidi penzi lote na sitojali chochote nukta.
Mambo ya Pwani kuchepuka sio tatizoKwa hiyo hatma ya mkeo ni ipi, utamuacha au
Marafiki bwana