Librarian 105
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 261
- 356
Wafanyabiashara wa kariakoo (wananchi) wanavyofunguka kueleza kero zao kwa waziri mkuu ni kuwachana watendaji wa wizara ya fedha kinaridhisha.
Mambo mengine tulizoea kusikia kwa wapinzani ndani ya bunge kubainisha mambo ya ndani yanayorudisha nyuma shughuli za wananchi kimaendeleo.
Ila tatizo linaweza kuwa: kipele kuendelea kukosa kidole cha ukunaji!