Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Ni sawa ulichosema ungeanzisha tu uzi wako wa Kagera sijui ndo Bukoba.. hapa waachie wachaga wajimwayemwaye na kwao.. Kuna ubaya hapo?Bahati nzr stendi mpya inajengwa tena kyakairabwa km 8 kutoka mjini .vyuo sasa vimeongeZeka mbona kuna vinne siku hizi.karuco,karumco,jocuco na open nk hivyo nini ? Halafu hata kama hakuna chuo cha maana elimu ya kagera hamuwezi kuifikia.jengeni tu vyuo sie tunakuja kusoma na kumaliza.kielimu kwa wahaya hamtoboi.bakini huko mnadanganywa kwamba bk haiendelei mara maskini hizo ni propaganda tu za kutoka kuendeleza mkoa wa kagera kimusingi kiuhalisia kagera sio maskini tazama vijiji vyake utaamini tu
hahahaha huto tu vyuo mbona cjawahi tusikia? tunatoa elimu ya kuuza senene au?Bahati nzr stendi mpya inajengwa tena kyakairabwa km 8 kutoka mjini .vyuo sasa vimeongeZeka mbona kuna vinne siku hizi.karuco,karumco,jocuco na open nk hivyo nini ? Halafu hata kama hakuna chuo cha maana elimu ya kagera hamuwezi kuifikia.jengeni tu vyuo sie tunakuja kusoma na kumaliza.kielimu kwa wahaya hamtoboi.bakini huko mnadanganywa kwamba bk haiendelei mara maskini hizo ni propaganda tu za kutoka kuendeleza mkoa wa kagera kimusingi kiuhalisia kagera sio maskini tazama vijiji vyake utaamini tu
Mimi na wewe nani ana misifa.mpaka unaanza kunidanganya Mimi mama yangu mchaga wa kibosho nyuma ya seminari .unajisifia kote huko unafikiri mi sifahamu Kilimanjaro nzima.haya masifa ya uongo ndo yanarudisha maendeleo ya mkoa wa Kilimanjaro nyuma.we angalia kagera wanaitwa maskini lakini wanafaidika mno maana serikali INAweka nguvu nyingi uko.kwa sasa naishi hapa bukoba Mimi ndo nakwambia nipe miaka mitano bukoba itakuwa imekua sana hata kuwa jiji kuliko moshi yetu ambayo haibadiliki miaka nenda rudi.leta nikitajie miradi inayoendelea bukobahahahaha huto tu vyuo mbona cjawahi tusikia? tunatoa elimu ya kuuza senene au?
mnajenga stand sasa hivi wakati cc tushajenga zamaan mji wa kwanza ksa usafi
kuhusu elimu sisi n 70% nyie 50% hamjaweza kutufikia na hamtakaa mtufikie mulika taasisi xoote uangalie kati yetu na nyinyi nan zaid
kibiashara ndo usiseme KBS hamjui lolote mmebaki kuegemea vijisifa tu
mngekua na elimu mkoa wenu ungekua maskini?
Acha UkabilaWakuu, Amani iwe nanyi!!
Nimekuwepo Kilimanjaro kuanzia mwanzoni mwa Mwezi huu wa December.
Na bahati nzuri nimeyaona maisha ya kijamii kabisa ya wachagga...
Nchi yetu raia wanalalamika sana kuwa hali ni ngumu kila kona, lakini hawa jamaa wa huku sivyo kabisa, nilitegemea kuona mkwamo wa sherehe msimu huu
Lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa, wachagga bado wanafanya masherehe makubwa kabisa, Harusi nyingi zinafanywa kwa sherehe kubwa kubwa kabisa, ubarikio na ubatizo bado vinafanyika kwa masherehe.
Hawa watu wao wanapata wapi pesa za kufanya yote haya tena kipindi hiki! Ambapo kila mtu analalamika pesa haionekani?
Tuseme ndiyo Magu kashindwa kuwabana vizuri hadi wanaendelea na matumizi ya aina hii?
Ukienda uwanja wa ndege wa mwanza na dar es salaam tripu za kwenda Bukoba (Kagera) zimejaaa mpaka tarehe 03/01/2018Ubungo gari zote za moshi zimejaa mpaka tareh 27
mkuu unajifaji tuMimi na wewe nani ana misifa.mpaka unaanza kunidanganya Mimi mama yangu mchaga wa kibosho nyuma ya seminari .unajisifia kote huko unafikiri mi sifahamu Kilimanjaro nzima.haya masifa ya uongo ndo yanarudisha maendeleo ya mkoa wa Kilimanjaro nyuma.we angalia kagera wanaitwa maskini lakini wanafaidika mno maana serikali INAweka nguvu nyingi uko.kwa sasa naishi hapa bukoba Mimi ndo nakwambia nipe miaka mitano bukoba itakuwa imekua sana hata kuwa jiji kuliko moshi yetu ambayo haibadiliki miaka nenda rudi.leta nikitajie miradi inayoendelea bukoba
1.ujenzi wa shopping mall
2.ujenzi wa supermarket
3.ujenzi wa sekondari ya ihungo ambayo kimsingi majengo yake kama ya UDOM blocks 10 zenye ghorofa 3 na NNE
4. Ujenzi wa meli kubwa ya kisasa itakayobeba watu 1200,na tani 400 ambayo kimsingi ikimalizwa mzinguko wa hela na biashara za bukoba zitaimarika sana na MV Victoria na Serengeti august 2018 zinaanza kufanya kazi
5.upanuzi wa uwanja wa ndege wa bukoba kuweza kufanya kazi masaa yote na ndege kubwa kuweza kutua
6.ujenzi wa parish fathers residents ghorofa la ajabu kule miembeno
7.ujenzi upya wa soko kuu la Africa mashariki ambalo kimsingi litazidi yote tz kwa ubora
8.ujenzi wa hospital ya cancer makongo
9.viwanda vya kahawa kama tanica vimefufuliwa.
10.ujenzi wa stendi kubwa na ya kisasa mbali na mji
11.ujenzi wa kiwanda cha soda.wine na juice mayawa
Na mengine mengi na hayo ni kwa bk pekee bila kuweka mji wa mtukula ambao upo mpakani Mimi nawakubali wahaya Sana kwa manispaa ndo iliongoza kwa mtihani wa form four,la NNE,na form 2 mwaka Jana na mwaka shule NNE bora la saba zimetoka kagera.kwa sisi kama wachaga na Mimi nikiwemo tubadilike watu wanazidi kuamini kuwa wahaya hawaendelezi kwao ila kimsingi wanaendeleza mno ikizingatiwa watu hawa wana hela
Wachaga tubadilike hasa wewe kabibi yaana within 4 years kagera kuna vyuo vitano wakati hakuwepo chochote hawa watu sio wa kawaida wachaga bado sana Mimi ni mchanganyiko wa wachaga na Iraq tunaishi mwanza ila bukoba naifahamu vzr msikalili
Mmh. Inategemea ila sifa yao walio wengi wanajua kutafuta yaani hawana sifa ya kubweteka.
General Mangi, chuma cha mjerumani, MBIIRWA, Nleterewa Nganengo na atlas copco kaka zangu hawa natumahi nao ni watafutaji wazuri ukimjumlisha na emmy anayefuata nyayo zao.
Hahahaa. Na mie mnikaribishe basi.tunakula mbuzi na machalari.
Mhh umeona uwasemee japo kidogo....wahaya tatizo sifa kwenye hamna na kujikweza....ajikwezae hushushwaaa....Nina miaka 3 uhayani uwiiiii chaaaaaa yaani unajishusha muishi kwa amani lakini anataka aonekane yupo juuu....hata kama hana.Wahaya ni kama wachaga tu ila wameshindwa kuuendeleza mkoa wao wameukimbia labda siku hizi ndo wameanza kurud polepole ndo maana mji wa bk unakua kwa haraka siku hizi tofauti na zamani
Mhh watu wanajiendea kupumzika baada ya kupata mishiko ya maana we unajisifia kulala nje usiku kucha ukiwa na sent mbili mfukoni kukesha sana sio mafanikio.hamna mji umejichokea kama Moshi, ikifika jioni mjini hakuna watu wameshakimbilia migombani kunywa vitochi....hata Njombe kumechangamka kupita Moshi....wachaga ni washamba sana wanajua maisha ni kulewa mapombe tu
Na ukiangalia takwimu ya waliotumbuliwa wengi wahaya...hahahaha huto tu vyuo mbona cjawahi tusikia? tunatoa elimu ya kuuza senene au?
mnajenga stand sasa hivi wakati cc tushajenga zamaan mji wa kwanza ksa usafi
kuhusu elimu sisi n 70% nyie 50% hamjaweza kutufikia na hamtakaa mtufikie mulika taasisi xoote uangalie kati yetu na nyinyi nan zaid
kibiashara ndo usiseme KBS hamjui lolote mmebaki kuegemea vijisifa tu
mngekua na elimu mkoa wenu ungekua maskini?
Akunaga mchaga anaeringia cha kwazima wewe! 100% tunamiliki vyakwetu!tunawajua hao ikifika desemba wanakopa pesa na kuazima magari ya kwenda kuoshea kwao
Mulize kama ana kwao kwanzaMhh watu wanajiendea kupumzika baada ya kupata mishiko ya maana we unajisifia kulala nje usiku kucha ukiwa na sent mbili mfukoni kukesha sana sio mafanikio.
Hela zipo kwanini usifanye sifa sasa??(Kiding)Wachaga kwa sifa siku hizi mnachukua nafasi ya wahaya!
Sifa kipeo cha pili. Na ndo maana wahaya mmewageuza maadui zenu wakubwa maana mnataka ku take over kwenye sifaHela zipo kwanini usifanye sifa sasa??(Kiding)