hahahaha huto tu vyuo mbona cjawahi tusikia? tunatoa elimu ya kuuza senene au?
mnajenga stand sasa hivi wakati cc tushajenga zamaan mji wa kwanza ksa usafi
kuhusu elimu sisi n 70% nyie 50% hamjaweza kutufikia na hamtakaa mtufikie mulika taasisi xoote uangalie kati yetu na nyinyi nan zaid
kibiashara ndo usiseme KBS hamjui lolote mmebaki kuegemea vijisifa tu
mngekua na elimu mkoa wenu ungekua maskini?
Mimi na wewe nani ana misifa.mpaka unaanza kunidanganya Mimi mama yangu mchaga wa kibosho nyuma ya seminari .unajisifia kote huko unafikiri mi sifahamu Kilimanjaro nzima.haya masifa ya uongo ndo yanarudisha maendeleo ya mkoa wa Kilimanjaro nyuma.we angalia kagera wanaitwa maskini lakini wanafaidika mno maana serikali INAweka nguvu nyingi uko.kwa sasa naishi hapa bukoba Mimi ndo nakwambia nipe miaka mitano bukoba itakuwa imekua sana hata kuwa jiji kuliko moshi yetu ambayo haibadiliki miaka nenda rudi.leta nikitajie miradi inayoendelea bukoba
1.ujenzi wa shopping mall
2.ujenzi wa supermarket
3.ujenzi wa sekondari ya ihungo ambayo kimsingi majengo yake kama ya UDOM blocks 10 zenye ghorofa 3 na NNE
4. Ujenzi wa meli kubwa ya kisasa itakayobeba watu 1200,na tani 400 ambayo kimsingi ikimalizwa mzinguko wa hela na biashara za bukoba zitaimarika sana na MV Victoria na Serengeti august 2018 zinaanza kufanya kazi
5.upanuzi wa uwanja wa ndege wa bukoba kuweza kufanya kazi masaa yote na ndege kubwa kuweza kutua
6.ujenzi wa parish fathers residents ghorofa la ajabu kule miembeno
7.ujenzi upya wa soko kuu la Africa mashariki ambalo kimsingi litazidi yote tz kwa ubora
8.ujenzi wa hospital ya cancer makongo
9.viwanda vya kahawa kama tanica vimefufuliwa.
10.ujenzi wa stendi kubwa na ya kisasa mbali na mji
11.ujenzi wa kiwanda cha soda.wine na juice mayawa
Na mengine mengi na hayo ni kwa bk pekee bila kuweka mji wa mtukula ambao upo mpakani Mimi nawakubali wahaya Sana kwa manispaa ndo iliongoza kwa mtihani wa form four,la NNE,na form 2 mwaka Jana na mwaka shule NNE bora la saba zimetoka kagera.kwa sisi kama wachaga na Mimi nikiwemo tubadilike watu wanazidi kuamini kuwa wahaya hawaendelezi kwao ila kimsingi wanaendeleza mno ikizingatiwa watu hawa wana hela
Wachaga tubadilike hasa wewe kabibi yaana within 4 years kagera kuna vyuo vitano wakati hakuwepo chochote hawa watu sio wa kawaida wachaga bado sana Mimi ni mchanganyiko wa wachaga na Iraq tunaishi mwanza ila bukoba naifahamu vzr msikalili