atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Ni kweli kbs swahiba sifa yetu kubwa ni kutafuta,naamini na ww utafuata nyayo zetuMmh. Inategemea ila sifa yao walio wengi wanajua kutafuta yaani hawana sifa ya kubweteka.
General Mangi, chuma cha mjerumani, MBIIRWA, Nleterewa Nganengo na atlas copco kaka zangu hawa natumahi nao ni watafutaji wazuri ukimjumlisha na emmy anayefuata nyayo zao.
Sisi na wahaya hatuna uadui mkuu.Kwa taarifa yako tuu ni kwamba wahaya wengi sana siku hizi wanaoa uchaggani....nina ushahidi na hilo so hatuna uadui ni kupeana tuu changamoto wahaya nao waendeleze kwaoSifa kipeo cha pili. Na ndo maana wahaya mmewageuza maadui zenu wakubwa maana mnataka ku take over kwenye sifa
Mkuu nasikia waziri Jaffo amegoma Ihungo isiwe UniversityMabasi ya kuja bukoba mbona sio hayo tu ni mengi mbona mfano friends,falcon,mombasa raha,ota,ilyana,fikoshi,nk isitoshe hakuna sababu ya kuwa na mabasi mengi maana meli ikitia nanga tu bukoba inamwaga zaidi ya watu 1500 kutoka mwanza hivyo wengi usafiri hadi mwanza kwa either basi au train na siku kunajengwa meli nyingine kubwa zaidi inayobeba watu 1200 hivi hawa watu moshi kwa siku moja wanaokuja kwa basi ndo maana uwekezaji wa mabasi utapata loss maana wengi uwenda hadi mwanza kwanza na kuja kwa meli au basi ndo maana root ya bk mwanza INA mabasi mengi.pia watu wengi kwa sababu ya sifa na utajiri wao uja kwa ndege hadi bukoba ndo maana safari za ndege kuna bukoba hazikomi na uwanja inapanuliwa zaidi ili ndege kubwa kama fastjet ziweze kutua .hivi unafikiri kwa nini wafanye hivyo ? Kuhusu mji wa bukoba kuwa na majengo yaliozeeka sijui kama unachokisema unakifahamu maana maghorofa siku hizi yanaongezeka kila siku mfano mwaka huu tu maghorofa 20 yameongezeka mjini hasa milimani ukiongeza na ihungo blocks.bahati nzr mji wa moshi nimesomea pale moshi tech ila moshi pamekanda sana mighorofa speed yake sio kama ya bukoba na muingiliano wa watu ni mdogo kulinganisha na arusha na mabasi mengi yaneelekea arusha sio moshi lakini sio mengi kama ya bk mwanza
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Kwani ilipendekezwa iwe universityMkuu nasikia waziri Jaffo amegoma Ihungo isiwe University
Mkuu Bukoba sijawahi kufika but january nitaenda huko kwa shemeji zangu nikaone kukoje...Bukoba iko nyuma sana
Mkuu kumbe bado kuna watu wanaamini kuwa kagera ni maskini kwa zile takwimu za ajabu,??? Basi kama ni hivo kumbe leo hii kuna watu wanaamini manyara au lindi zimeendelea kuliko Mwanza kumbe wanajidanganya!!!!Bahati nzr stendi mpya inajengwa tena kyakairabwa km 8 kutoka mjini .vyuo sasa vimeongeZeka mbona kuna vinne siku hizi.karuco,karumco,jocuco na open nk hivyo nini ? Halafu hata kama hakuna chuo cha maana elimu ya kagera hamuwezi kuifikia.jengeni tu vyuo sie tunakuja kusoma na kumaliza.kielimu kwa wahaya hamtoboi.bakini huko mnadanganywa kwamba bk haiendelei mara maskini hizo ni propaganda tu za kutoka kuendeleza mkoa wa kagera kimusingi kiuhalisia kagera sio maskini tazama vijiji vyake utaamini tu
Kweli wahaya wapo poa tu, ila tatizo lao hawasikilizi hoja za nje kwenye maswala ya decision making hivyo wanachelewesha agreement na that kusababisha action kuchelewa.Sisi na wahaya hatuna uadui mkuu.Kwa taarifa yako tuu ni kwamba wahaya wengi sana siku hizi wanaoa uchaggani....nina ushahidi na hilo so hatuna uadui ni kupeana tuu changamoto wahaya nao waendeleze kwao
Bukoba gani unayoingelea ? Mi ninayoifahamu ndo mji wa pili kwa ukubwa kanda ya ziwaKumechoka sana
Unaamini Moshi kumeendelea kuliko Bukoba?? This is totally wrong!Sisi na wahaya hatuna uadui mkuu.Kwa taarifa yako tuu ni kwamba wahaya wengi sana siku hizi wanaoa uchaggani....nina ushahidi na hilo so hatuna uadui ni kupeana tuu changamoto wahaya nao waendeleze kwao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli tuna matutusa mengi sana humu JF! Muwe mnatembea mjue miji ya watu sio mnakaririshwa tu nyambaf! Ona sasa unajitia aibu!Exclude Shinyanga...
Musoma na Tabora in case of Kanda ya Ziwa...
Hata Kigoma mji iko vizuri kuliko Bukoba mji
We ndo mburura kabisa hata hujui kanda ya ziwa ina miji gani, si bora upite kimya tu!!!!Exclude Shinyanga...
Musoma na Tabora in case of Kanda ya Ziwa...
Hata Kigoma mji iko vizuri kuliko Bukoba mji
Ukubwa kwenye criterion gan mkuu? Hebu fafanua nielewe maana nna mpango wa kuja huko January.Bukoba gani unayoingelea ? Mi ninayoifahamu ndo mji wa pili kwa ukubwa kanda ya ziwa
umbea tu tumewah kukukopa wew sis ni watafutaji bhanaatunawajua hao ikifika desemba wanakopa pesa na kuazima magari ya kwenda kuoshea kwao
Wanachelewa lakini wanafanya mambo yenye ubora hata kama ni madogo mfano bukoba airport ambayo ingawa ni fupi lakini ni bora sana na kaitaba stadium,bukoba cathedral na stendi ambayo inajengwa sa hivi itakuwa bora sana ikimalizwa kuliko hata ya moshiKweli wahaya wapo poa tu, ila tatizo lao hawasikilizi hoja za nje kwenye maswala ya decision making hivyo wanachelewesha agreement na that kusababisha action kuchelewa.
Ahhhh et kigoma kweli umekaririshwa bukoba upafahamu tembelea uzi wa bukoba vs moshi uione bukoba ilivyo sio kukariri tuExclude Shinyanga...
Musoma na Tabora in case of Kanda ya Ziwa...
Hata Kigoma mji iko vizuri kuliko Bukoba mji